Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Carragher alishayazungumza mengi kuhusiana na Everton linapokuja swala la Man City au Man United kubeba Ubingwa.

Sasa subiri vs game yetu uone watakavyokuja kuwa tayari hata kufa uwanjani ili tusiwafunge
Kuna yankie mmoja shabiki wa Toffees niliona jana mchana anahojiwa Sky sport akaulizwe anataka timu gani ishinde kati ya City na wao

Akasema yeye ni ticket season holder wa Everton lakini anataka City ashinde na hana mpango wa kwenda kicheki game ya jana maana anaiombea majanga timu yake

Nikaona duh .... Kweli hii ni chuki ya Derby

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Ev mpaka Dk hii hawajafungwa

naona wanataka kunipa false hopes hawa ndugu zetu.
man walipambana to thier very best, bravo Marco Silva guys played really better...

Citi took thier chances.

Good thing that was evident before Citi scored they were frustrated i saw how they panicked at th back ,players shouting to one another..

n evrytym we r told they av been there before so they r well equiped to handle pressure, guess that was also a mind game, as long as they r chasing th Mighty Reds they il succumb to pressure..

seriously even Pep is a worried man in th sidelines n t made his boys panic wen they were not scoring.
 
Leo city anarudi kweny kiti chake mpaka mwisho wa msimu, nyinyi kwa tabu mtamaliza ligi mkiwa wa 3

Sent using Jamii Forums mobile app
mtapata taabu sana msimu huu, Pep mwenyewe anasema linaweza kuamuliwa kwa magoli anaelewa anaekimbizana nae si wa kumdharau...

hatukuongoza ligi mpaka ilipofika Decemba 22, kerere zenu hapa ni kama tumeongoza tangu Agosti na ligi inaisha Pep akishika ushukani, mpira haupo hivyo labda wa kwenye mitadao..

Ataongoza ila Jmosi tunarejea ushukani...

hivyo mpambane na hili zenu na sis tupambane na yetu.
 
Game ya satoo labda kila mchezaji atafutiwe saikolojisti wake la sivyo makhirikhiri watakayoenda kucheza humo ndani Mungu ndo anajua

Maana watakua over pressure ya hatari, poleni sana in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Wewe una timu ya kupeleka uefa? Au unatafuta tu kiki kwamba arsenal nayo ipo uefa.!

Achana kabisa na mawazo ya uefa mkuu waza kujenga timu yako isiyo na beki wala viungo wanaoleweka.

Arsenal mutaenda kuaibisha EPL tu na London kwa ujumla..

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inakupiga mbili kavu alafu unasema haya,!!!!wewe sio wa kusema haya bora westham au southampton wakisema haya tutawasikiliza kuliko wewe....maneno haya waseme liver ,man u au city lkn sio wewe na spurs niliyemtungua 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carragher alishayazungumza mengi kuhusiana na Everton linapokuja swala la Man City au Man United kubeba Ubingwa.

Sasa subiri vs game yetu uone watakavyokuja kuwa tayari hata kufa uwanjani ili tusiwafunge
Hahaha hivi mbona unalia sana pamoja na huyo carragher?yaan watu waache kupambana kwaajili ya team zao wapambane kwaajili ya team ya makumbusho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu inakupiga mbili kavu alafu unasema haya,!!!!wewe sio wa kusema haya bora westham au southampton wakisema haya tutawasikiliza kuliko wewe....maneno haya waseme liver ,man u au city lkn sio wewe na spurs niliyemtungua 4

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka ndio maana nilisema hawa jamaa wazamishe Futuhi watulie huko msimu ujao..
 
Game ya satoo labda kila mchezaji atafutiwe saikolojisti wake la sivyo makhirikhiri watakayoenda kucheza humo ndani Mungu ndo anajua

Maana watakua over pressure ya hatari, poleni sana in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
ni dhahiri pressure mpaka ligi ilipofikia haiepukiki hivyo hata hao Citi jana dakika 30 za mwanzo walishaona yale ya Newcasto....
Jmosi tunarudisha ushukani wetu mapema...
 
Kwakweli ni haki yao kabisaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
wapo tayari kugawa pointi kwa Citi humu ila mradi sisi tuzidi kupoteana...

pazuri sasa ni pale wagawe pointi na Unai na jeshi lake wapambane mpaka mwisho kuingia Big Four..aafu hawa jamaa na wale mashetani weupe washiriki Futuhi...itakua zawadi murwa sana kwa mashabiki wa th Ganaz
 
Timu inakupiga mbili kavu alafu unasema haya,!!!!wewe sio wa kusema haya bora westham au southampton wakisema haya tutawasikiliza kuliko wewe....maneno haya waseme liver ,man u au city lkn sio wewe na spurs niliyemtungua 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe tu jamaa maana toka apigwe 4 na Bournemouth amekuwa Kama kawehuka hivi, so usimchukulie serious Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hivi mbona unalia sana pamoja na huyo carragher?yaan watu waache kupambana kwaajili ya team zao wapambane kwaajili ya team ya makumbusho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Liverpool imebaki kuwa timu yakwenye museum!, lakini Kama Kuna ukweli fulani coz msimu huu watu tulijua anabeba ndoo ya EPL lakini dalili ziko wazi kuwa ameishiwa pumzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom