Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani katika timu ambayo sina hofu nayo ni hii chelsea na yule sarri wao yaani hapo walipo wana vipigo viwili ambavyo ni costant kama π.......kutoka kwa city na liver zote away hahahah baada ya hapo huo mporomoko wake sio masihara atajikuta anapigana vikumbo na kina westham kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani katika timu ambayo sina hofu nayo ni hii chelsea na yule sarri wao yaani hapo walipo wana vipigo viwili ambavyo ni costant kama π.......kutoka kwa city na liver zote away hahahah baada ya hapo huo mporomoko wake sio masihara atajikuta anapigana vikumbo na kina westham kule

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mpiga ramuli chonganishi ametoka wapi jamani,wapiga ramuli wenzako wanatafutwa na polisi,angalia usije ukakamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majogoo saiv yanawikia ndani ya banda hata kujipga piga bawa kabla ya kuwika hayawezi kwakua pumzi imekata hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kuongoza kigi na kutoa draw hizi mbili za hivi karibuni ndio kunawanya muongee yote haya huku mkijua fika kuna mechi 13 hivi za kucheza na citi tayari kashatuzidi mchezo huku tumelingana pointi,..

wasiwasi mlionao sisi kuchukua ndoo si wa kawaida...tutatumia mechi zilizopita kujiweka sawa mechi zijazo na kujipanga zaidi...

hivyo mtulie ubao siku si nyingi utasoma majogoo wanaongoza...
 
Hahaaa.. Jamaa kapigwa jungu lakini hata haelewi. Anajua kasemwa mwingine kumbe kasemwa yeye. Huyo wa kumzamisha mwenzake anashika nafasi ya ngapi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Southern umerejea, mwambie Kimaro asijipige ban humu bana ndio mpira ulivyo...

Ukiruhusu Citi akupige jamaa yangu naona Futuhi tena mwakani inakuita...

Ganaz binafsi sikutarajia kabisa akupige na majeruhi aliyonayo lakini ulichezea ndugu, hivyo usimdharau kihivyo.

ili ucheze Uefa dume msimu ujao inabidi aidha uchukue Futuhi msimu huu au mwombee Citi majanga Uefa wamfungue japo halijaamuliwa hivyo endapo akifungiwa na ukamaliza nafasi ya tano pengine unaweza kujikuta mwenye bahati..
 
Nimeona mashabiki wakihamasishana game ya jumamosi wawahi saa moja kabla ya mechi na shangwe ziwe za kutosha kuanzia wachezaji wakiingia kupasha

Bring the fortress at it best ... hiyo atmosphere ikiwepo ushindi utakuwa rahisi
 
January 29 tulikuwa mbele kwa tofauti ya alama 9. Ile goals different kati yetu na city tukaipangua yote. Tukawa tupo kwenye righ track, leo nashangaa tupo alama 3 na goals diff tumezidiwa 5.

Tangu Klopp alipomwamisha Mo Salah na kumpanga pale mbele badala ya kutokea pembeni kulia amevuruga kabisa ile trio yetu ya Mane,Bob na Salah. Salah alikuwa akianzia pembeni alikuwa anapandisha timu. Kwa sasa anapangwa kama mshambuliaji anabaki kuwa mviziaji akisubiri pass za mwisho ili afunge.

Tuna 3 tough games mbele yetu. Against bounemouth, Bayern na United. Tusipobadilika tunaenda kuaibika. Kumbukeni city kila game wao wanacheza kama fainal. Matumaini ni madogo kwa kweli.



Sent using Jamii Forums mobile app
Matumaini Ni makubwa mno. Wala ucijali. Livaluza msipojiangilia mtaluz Kila kitu msimu huu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keita's last 25 minutes against Westham, zimeonesha wazi kwanini anatakiwa kucheza central in a pivot.

forget about WH at Anfield or Burnley, that was his best perfomance in LFC shirt, and ilikuwa ni ndani ya dakika 25 tu.

our most talented MF, and he will prove a lot of people wrong.
 
Robertson been one of our top performers tangu aje LFC, but he's been so shit recently..

he's solely responsible for our two draws, at fault for both goals against Leicester and WH

if that was Moreno, agenda ingekuwa kubwa sana, we need to learn kuwa na fair criticim kwa wachezaji wote.

Robertson is immune to criticism kwa top reds, kama Klopp/Hendo/Lallana/Milner/Lovren

i like Robertson, i really do, but he needs to wake up, kama tunataka kupambana na City mpaka mwisho, and we need to stop making these stupid errors and calm our pressure down.
 
baada ya kusikia Ganaz wanakutuma hukooo Futuhi sasa umebadili ngia angani ni kusema utampiga Citi..

hayo ndio maneno Chuga sio kugawa au utoke draw utukomoe sisi...pambana kama Evaton jana japo kafungwo likini kiwango cha ushindani kilionekana kabisa...

Ubingwa ni wangu kupoteza, Klopp naamini atafanya jambo vijana warudi kwenye form ya kujikusanyia pointi kuanzia mechi ijayo bila kukosa..

Jumapili tutawashabikia tafadhali msituangushe.
hahaha hao City wajipange maana point tatu tunazo sisi tayari.

Kazi kwenu kutetea kombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If TAA atakuwa bado hayupo fit hii weekend, just play Camacho at RB


had enough of Milner, terrible at RB

finished players like Milner hawatakiwi kuwa important squad players kwenye team inayo-chase title.

shouldn't be nowhere near the first team.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom