Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Carragher alishayazungumza mengi kuhusiana na Everton linapokuja swala la Man City au Man United kubeba Ubingwa.

Sasa subiri vs game yetu uone watakavyokuja kuwa tayari hata kufa uwanjani ili tusiwafunge
Unataka wewe na Caraga kuaminisha umma kuwa Everton alikuwa na uhakika wa kumpiga City lakini kaamua kumuachia tu??

Au wewe na uyo .wenzako mnatafuta mahali pa kutokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapo tayari kugawa pointi kwa Citi humu ila mradi sisi tuzidi kupoteana...

pazuri sasa ni pale wagawe pointi na Unai na jeshi lake wapambane mpaka mwisho kuingia Big Four..aafu hawa jamaa na wale mashetani weupe washiriki Futuhi...itakua zawadi murwa sana kwa mashabiki wa th Ganaz
Msimamo wa ligi utakuwa hivi

Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal

Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.

Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.

Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.

#1 ni city,#3 ni utd hizo nyingine zitajipanga siku ya mwisho wa mechi za ligi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimamo wa ligi utakuwa hivi

Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal

Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.

Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.

Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utamaliza wa 6 naomba mwezi May tutafutane

baada ya kusikia Ganaz wanakutuma hukooo Futuhi sasa umebadili ngia angani ni kusema utampiga Citi..

hayo ndio maneno Chuga sio kugawa au utoke draw utukomoe sisi...pambana kama Evaton jana japo kafungwo likini kiwango cha ushindani kilionekana kabisa...

Ubingwa ni wangu kupoteza, Klopp naamini atafanya jambo vijana warudi kwenye form ya kujikusanyia pointi kuanzia mechi ijayo bila kukosa..

Jumapili tutawashabikia tafadhali msituangushe.
 
Msimamo wa ligi utakuwa hivi

Man city
Tottenham
Liverpool
Chelsea
Man united
Arsenal
...
...
Au utakuwa hivi
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Tottenham
Arsenal

Au unaweza kuwa hivi
Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
Man United
Arsenal
...
...
Kwa vyovyote vile Arsenal kuingia top four itakuwa ni ngumu sana. Yani ni kama vile hamna iyo nafasi kwao.

Ushauri wangu ni kwamba wajipange wajenge timu yenye ushindani atleast ya kushindana na Man city au sisi.

Kufungwa na Arsenal mbili mboña ni kawaida tu? Mbona nilimpiga tatu gemu ya kwanza? Bonamouth kanipiga nne. Ina maana ni wazuri kuliko iyo arsenal? City iliyomla home and away mimi nilimpiga mbili, na kesho kutwa namkung'uta tena uyo city.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amka upo kwenye ndoto
 
we're mathematically top of the league.
we've lost the fewest number of games.
we've the best defensive record.
we've the second best "goal for" situation

and more interesting, even when in the midst of the so called "blip" at present, we're massively better than our closest title rival over the past 10 fames....
look at this stat below and let's continue believing towards landing our 19th league title.
20190207_135220.jpg
 
Lengo lako ni kumtoa Arsenal nje ya Top Four sio?

Msimamo halisi ni:

1) ......... Unknown (Kati ya Liverpool & Man City)
2) ......... Unknown (Kati ya Liverpool & Man City)
3) Spurs
4) Arsenal
5) Man United
6) Chelsea

CC: DullyJr , Ollachuga Oc & AROON
 
Kuna yankie mmoja shabiki wa Toffees niliona jana mchana anahojiwa Sky sport akaulizwe anataka timu gani ishinde kati ya City na wao

Akasema yeye ni ticket season holder wa Everton lakini anataka City ashinde na hana mpango wa kwenda kicheki game ya jana maana anaiombea majanga timu yake

Nikaona duh .... Kweli hii ni chuki ya Derby

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa Everton wanajikaza wakicheza na Liverpool tu
 
we're mathematically top of the league.
we've lost the fewest number of games.
we've the best defensive record.
we've the second best "goal for" situation

and more interesting, even when in the midst of the so called "blip" at present, we're massively better than our closest title rival over the past 10 fames....
look at this stat below and let's continue believing towards landing our 19th league title.
View attachment 1015762

Na the most interesting ni kwamba City lost against Newcastle lakini hakuekwa out kwenye title race!!!!!
But Liverpool kudraw na West Ham everyone ametuweka out of title race.. Ridiculous!

Ukweli ni kwamba ni jealous tu kwa watu kuona mpaka February tupo top of the table jambo ambalo wanahisi ni mshtuko na si kawaida kwa Liverpool.
 
hadi leo haters wetu hawaamini kuwa tupo kwenye position tuliyomo.
wamechanganyikiwa na wanasali kila uchao tuendelee kudondosha points.

msimu huu wataisoma namba shubamit!
 
Hili kombe ni letu, acha wapige kelele,ndo kwanza vijana wanazidi kupata hasira.

Weekend hii yani jmos & j2 itaenda kuwa kilio na kusaga meno kwa haters wetu wote.

Come on Reds❤❤❤
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom