Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Nmekutana na ww Mara mbili
Msimu huu. Bado awamu moja ambayo najua ntashnda tyu
Msimu huu. Bado awamu moja ambayo najua ntashnda tyu
Nmekutana na ww Mara mbili
Msimu huu. Bado awamu moja ambayo najua ntashnda tyu
Kama kijana wetu mmoja tuu Clyne kakuzima je ukikutana na timu nzima???
Sent using Jamii Forums mobile app


duu here comes RB Hendeson or worse RB Lalana..
Ile hali alotoka nayo atakua anamchukiaje Clopp na kama ndivyo si atacheza. Kwa mashaka kiasi cha kuasili kiwango chake?If you want to win the title there is Siple way just try it! Ikifika 67' minutes send out Keita kisha ingiza Lallana.
This English Messi will give you a result.
The day Klopp alipomtoa Clyne kwa loan nilimpongeza kwa uwamuzi wake nikiamini kuwa yeye kama ni Kocha anayejua "Soccer management" tayari alikuwa na backup plan Yake juu ya Maamuzi ya kumuondosha Clyne! But I was wrong....
Jamaa kamuondosha Clyne huku akiwa hajui nini cha kufanya????
Now Hwndo is RB
Not too far tutakuja kushuhudia Mignolet anacheza RB na Lovren Midfielder
Hivi Kimaro yupo?Hivi Keita yupo?
Na CB utakuta anacheza Milner...The day Klopp alipomtoa Clyne kwa loan nilimpongeza kwa uwamuzi wake nikiamini kuwa yeye kama ni Kocha anayejua "Soccer management" tayari alikuwa na backup plan Yake juu ya Maamuzi ya kumuondosha Clyne! But I was wrong....
Jamaa kamuondosha Clyne huku akiwa hajui nini cha kufanya????
Now Hwndo is RB
Not too far tutakuja kushuhudia Mignolet anacheza RB na Lovren Midfielder
Na CB utakuta anacheza Milner...
twendeni tu yajayo yanaogopesha
Jumapil naenda kumng'ang'ania man city, ikiwezekana namzabua kabisa,
Mshindwe sasa kuongeza gape la point, nitawashangaa sana,
Iwe mvua iwe jua, man city lazima nikaondoke na point, haijalish ni 1 au 3
Sent using Jamii Forums mobile app