Vip kwani haupendi...?Naona baada ya miongo karibia 3 mtalibeba.
Kesho hatupotezi mkuu.....tunachapa mtu kama kawaidaNlikua na khofu sana na gem ya kesho walau nimekua na afazali mana hata tukipoteza bado tupo vile vile dah
Na nyie mnaeza mkapigwa pia.What a result Meen...
later on vs Leicester a must win game
Thank Benitez.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale sitaki kujiamini kabisa tuwafunge kwanza ndo nishangilie wabishi sana kwetu jumlisha na hali tulionayo itakua kazi kesho
Woyoooo
FT.
Newcastle 2-1 Man City
Told you anything can happen bro.Didn't see this coming.
Once Red always Red.
Our Benitez and Hodgson have done their parts, it is about us now.


Katika zile games 5 ambazo man city atapoteza points zimeanza leo...
Baba bariki Anfield


hii ngome ni yetu ama vipLeo Benitez atakuwa anajaribu kutupigania.
Ataweza?
Ulishakuwa na intuitionLet's pray for him, he badly needs some points too.

Told you anything can happen bro.![]()
Eeh ndio sijaweka guarantee ya kushinda ila imepunguza presha na kifanya mechi ya baadae kuonekana kawaida.
Ulishakuwa na intuition![]()
Shua mchezo utakuwa mgumu ila naimani kulingana na matokeo ya leo washikaji wametupa nguvu mara tano zaidi ya kupambana kufa na kupona siku ya keshoWale sitaki kujiamini kabisa tuwafunge kwanza ndo nishangilie wabishi sana kwetu jumlisha na hali tulionayo itakua kazi kesho
Guadiola kasema aki lose moja tu katupa ubingwa keaha lose teyali sasa kazi kwetu
Naamini pia hamu ya kushinda imeongezeka mwaka wamatumaini huuShua mchezo utakuwa mgumu ila naimani kulingana na matokeo ya leo washikaji wametupa nguvu mara tano zaidi ya kupambana kufa na kupona siku ya kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini pia hamu ya kushinda imeongezeka mwaka wamatumaini huu