Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hili lishakuwa tawi lenu maana linawapigania kwa kila Hali...hongereni

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi unakumbuka mwaka 2009 pale Arsenal Wenger aliposema anamjua ni nani wa kuchukua ubingwa? Hatimae kwenye Mechi ya FA semifinal dhidi ya Chelsea Akawapumzisha key players wake wote kama kina Arshavin na Samir Nasri kwa ajili ya game Yake na Liverpool ambayo Arsenal alikuwa hagombanii chochote na akailazimisha kuitoa 4 - 4 tukakosa ubingwa.

Je Arsenal lilikuwa tawi la Man United au?
 
Hivi unakumbuka mwaka 2009 pale Arsenal Wenger aliposema anajua ni wa kuchukua ubingwa? Hatimae kwenye Mechi ya FA semifinal dhidi ya Chelsea Akawapumzisha key players wake wote kama kina Arshavin na Samir Nasri kwa ajili ya game Yake na Liverpool ambayo Arsenal alikuwa hagombanii chochote na akailazimisha kuitoa 4 - 4 tukakosa ubingwa.

Je Arsenal lilikuwa tawi la Man United au?
uliteseka eeeehhhh ndio soka hilo mkuu sometime unapambana kuweka heshima na rekodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Look at this

View attachment 1008491

Liverpool ana points 80
Man City
ana points 71

But Liverpool ana michezo 35
Man City
ana michezo 33

Hapo utaona tofauti ya points ni 9

Man city baada ya kukamilisha Viporo vyake Viwili alifika points 77

Hapo ikawa the real points kutofautiana kwao ni points 3.

Sasa hapo watu wanasema kuwa Mancity tulimuacha kwa points 9 lakini akatupota na kubeba ubingwa ikiwa imebakia michezo 3 tu,
Wakati ukweli halisi hapo ni kwamba ni points 3 tu na sio 9.

Lakini Mara hii ngoma ni different, tukishinda leo tutampita kwa points 7 safi huku tukiwa sawa kwa Michezo! That is why ninasema we'll be a champion of EPL 2018/19
What if we lose tonight?

Let's not be euphoric for no reason

One game at a time
 
Kuna kile kikundi uchwara kiliweka kambi humu kuanzia mwezi August, September, October, November ,December kimepotelea wapi sijui wazee wa November hii haiwaachi salama njooni tumewa miss sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom