Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naamini pia hamu ya kushinda imeongezeka mwaka wamatumaini huu
Yaani ndiyo hivyo laiti wangeshinda mechi yetu tungeharibu maana tungekuwa tunacheza kwa presha yao....
Ila kwa kuwa wamechspwa mechi ya kesho itakuwa niyautofauti sana tofauti na vile tunavyofikiria ila lazima mwanzo watakaza sana ila tutakapowavuruga pale watakaporuhusu goli hapo ndipo tutakapozalisha magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha sana kucheza ukijiamini ngoja tuisubili kesho
 
Yaani ndiyo hivyo laiti wangeshinda mechi yetu tungeharibu maana tungekuwa tunacheza kwa presha yao....
Ila kwa kuwa wamechspwa mechi ya kesho itakuwa niyautofauti sana tofauti na vile tunavyofikiria ila lazima mwanzo watakaza sana ila tutakapowavuruga pale watakaporuhusu goli hapo ndipo tutakapozalisha magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
Bingwa wakati mwingine huitaji bahati
embu fikiria city vs Newcastle alafu city dk ya 1' anapata goli matarajio ilikua Kuna kupigwa 5+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom