Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Nawapa hai sana fans wa majogoo
Wazee wa kusindikiza wabeba makombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anayeongoza ligi ni msindikizaji, na nyie tuwaiteje???
Nawapa hai sana fans wa majogoo
Wazee wa kusindikiza wabeba makombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys naomba maoni yenu juu ya IPI ni combination nzuri zaidi kwenye middle ya watu wa watatu pale LFC kwa wachezaji tulionao kwa sasa.???
Sent using Jamii Forums mobile app
ni sahihi, Gomez anahitajika awe kashapona vs Manu...Most important thing! Gomez arejee kabla ya mechi vs Man United.
Also tunahitaji GINI na Trent wawe fiti kwa kila mechi kwa zilizobakia.
WapelekajiKama anayeongoza ligi ni msindikizaji, na nyie tuwaiteje???
ni sahihi, Gomez anahitajika awe kashapona vs Manu...
kwa sasa ni kuwaombea pepo la majeruhi lipate mbali kabisa na wachezaji wetu.
Mbona wanasema eti Gomez kaumia tena?
Kama ni kweli, hizo siyo habari nzuri kabisa
ni vyema ungemjibu dully jr sababu yeye ndiye anayemshangaa kocha wetu mpendwa kwa kumtoa kwa mkopo clyneTumuache Clyne bench msimu mzima sababu gani?TAA kapona,Fabihno yupo,Milner anapumzika mechi moja tu!
Clyne wa nn sasa aozee bench?Klopp anajua anacho kifanya tumuache afanye kazi yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fabinho-Keita-Chamberlain
Hiyo ndio bora zaidi pale Anfield this time
Yeahp mkuu.. but naamini atazoea tu hiyo hiyo role mpya LM kwasababu sioni Klopp kama atamtumia kama CM anytime soon..Keita kwasasa tuukubali ukweli kuwa performance Yake ipo chini sana.
Kwahiyo combi ya Mido yetu kwa sasa ni GINI-FABI-HENDO.
Akipona AOC basi combi yetu itakuwa GINI-FABI-OX.
Keita anahitajika aimprove kiwango chake kwanza.
mbona hata usingeandika neno upumbavu bado tu tungeiona comment yakoWacha upumbavu wewe..
Nyie genge la Liverpool mnajiita mashabiki wa liver mutapoteana apa muda so mrefu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahp mkuu.. but naamini atazoea tu hiyo hiyo role mpya LM kwasababu sioni Klopp kama atamtumia kama CM anytime soon..
Nahisi ndo anambadlishia role hivi hivi mpaka azoee kama alivofanya to other some of the players... Lets just hope itawork out!!
Kuhusu Gomez naona wanatuchanganya sasa, hii defence ya kumtegemea Lovren or Matip hasa big games inaeza tucost
Yeahp mkuu.. but naamini atazoea tu hiyo hiyo role mpya LM kwasababu sioni Klopp kama atamtumia kama CM anytime soon..
Nahisi ndo anambadlishia role hivi hivi mpaka azoee kama alivofanya to other some of the players... Lets just hope itawork out!!
Kuhusu Gomez naona wanatuchanganya sasa, hii defence ya kumtegemea Lovren or Matip hasa big games inaeza tucost
aiii ngoja tusubiri updates za Klopp...kama kweli basi Klopp aingie sokoni bila kusita.Mbona wanasema eti Gomez kaumia tena?
Kama ni kweli, hizo siyo habari nzuri kabisa
I really don’t think Klopp is getting anyone ata kwa loan..I bet utafanyika usajili kwa hizi siku chache zilizobaki. Kama kweli tunautaka ubingwa.
dah!! nmeona it’s a serious problem man!Tatizo la Gomez ni Fructured kwenye mguu wake kwahiyo huenda akarudi March na si February kama ilivyotangazwa hapo awali.
Hajaumia tena! Bali walimscan tena kuangalia anaendeleaje wakagundua kuwa tatizo lake ni kubwa kuliko walivyofikiria
I really don’t think Klopp is getting anyone ata kwa loan..
Somehow inatia presha sana.. Defending role kwenye mido sasa itategemea kaz kubwa ya VVD.. + Allison abaki kwenye form tu..
I bet utafanyika usajili kwa hizi siku chache zilizobaki. Kama kweli tunautaka ubingwa.