Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hazard vs Salah
IMG_20190114_173628.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia hapo uyo salah ana mechi nyingi kuliko Hazard..

Magoli mengi ya Salah ni kwa sababu ya ubinafsi wake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba unazingua. Nimeamini mapenzi upofu. Fanya averaging tu hapo utagundua haupo sawa.

Goals

Salah - ukichukua idadi ya goli gawa kwa idadi ya mechi. 46/58 = 0.79 goals per game

Hazard - idadi ya goli gawa kwa idadi ya mechi. 22/55 = 0.4 goals per game.

Assists

Salah - idadi ya assists gawa kwa idadi ya mechi. 19/58 =0.3 assists per game.

Hazard - idadi ya assists gawa kwa idadi ya mechi. 14/55 = 0.25 assists per game.

Wazungu wanasema "numbers do not lie". Hizi ni facts ambazo hazihitaji ubishi hata kidogo labda mtu ujitoe ufahamu tu.
 
Angalia hapo uyo salah ana mechi nyingi kuliko Hazard..

Magoli mengi ya Salah ni kwa sababu ya ubinafsi wake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Salah kamzidi hazard mechi 3, kwa kila mechi hazard ana wastani wa 0.65 goals/asst per game kwa maana hio tufanye HAZARD 58 games, 24.29 goals, 16.29 assist na bado hajamfikia


Kuhusu ubinafsi ndio kariba ya wafungaji wengi ulimwengu sidhani kama nahitaji kukupa mifano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mechi zote almost 15 au 16 zilizobaki, Tunaenda kushinda mechi zote bila kudraw wala kudrop point hata moja.

Take it.. Man city anaenda kupoteza mechi ya Jumamosi Vs NewCastle.

It's Coming Home.

Benitez ni ndugu yetu lazima afanye yake...!
 
"adui" yako mwombee njaa aisee...

ubingwa wa msimu huu kuna hatihati ukaamuliwa mpaka mechi ya mwisho,

endapo gepu hii haitapungua zaidi au kuongezeka zaidi basi itakua ni presha kwa Majogoo na vijana wa Ethad

Pazuri maana nafasi ya nayo inau kali wa aina yake Chelsi, Manu, Aseno wote wanaichungulia,

Muda utasema nani kidume.
Ahahaaah...
Upo sahihi,adui yako muombee njaa...
Ila pia usisahau,never underestimate your enemy..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom