Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uyo Salah Siku hizi bila penalty hafungi kabisa magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Refer ile penalty aliyopewa dhidi ya arsenal ..huoni reffaree wa England wanambeba sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha lazima mchukie tu lakini hamna namna. Ukitaka kujua Salah sio diver cheki game yetu na Bournemouth, kuna goli alifunga lakini katika process alifanyiwa foul kiasi kwamba ingekuwa huyo Hazard wenu angejirusha kama aliechomwa mkuki na angeweza kumsababishia mtu red.

Lakini Mo alijitahidi kuenda mpaka akafunga goli. Ile incident moja tu ya juzi imeshamfanya amekuwa villian.

Smfh
 
Hahaha lazima mchukie tu lakini hamna namna. Ukitaka kujua Salah sio diver cheki game yetu na Bournemouth, kuna goli alifunga lakini katika process alifanyiwa foul kiasi kwamba ingekuwa huyo Hazard wenu angejirusha kama aliechomwa mkuki na angeweza kumsababishia mtu red.

Lakini Mo alijitahidi kuenda mpaka akafunga goli. Ile incident moja tu ya juzi imeshamfanya amekuwa villian.

Smfh
Salah anajua mnoo ..lakini penalties zinambeba sana plus marefa wa England..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohammed Salah atawaumiza sana vichwa nyie wapiga ramli, mwanzoni mlisema yeye ni one season wonder, akawajibu kwa mvua ya magoli.
Saizi mmeanzisha kihoja cha kujirusha/dive, endeleeni na vihoja vyenu mkijakushtuka May imeshafika anabeba tuzo ya ufungaji bora, VVD uchezaji bora huku Liverpool ikinyanyua kwapa!
Salah anamengi ya kujifunza kwa Hazard ...Salah anafunga kwa sababu front nzuri kuliko Chelsea...

Lakini hawezi mfikia Hazard kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LFC rich on the pitch (top of the pile).
and rich off it as well (see below - we have pushed down the rank the bottomless pockets of the likes of Roman Abramovic).

i understand there's another report in the pipeline (yet to be officially released) which indicates we're the highest profit making football business on the planet with a record >Euro 100M before tax. a step in the right direction to returning to the greatness of old for Anfield.

am sure the figures for 2018 will be even more impressive when released.

happy days Reds!


1548338485183.png
 
wewe pia umeanza kumkejeli kocha wetu?umesahau kuwa kocha ndio anajua soccer management kuliko sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumuache Clyne bench msimu mzima sababu gani?TAA kapona,Fabihno yupo,Milner anapumzika mechi moja tu!
Clyne wa nn sasa aozee bench?Klopp anajua anacho kifanya tumuache afanye kazi yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahaha sasa tuone kama atabeba golden boot. Higuain kashatimba ndani ya nyumba..

Nadhan unajua wastani wa magoli yake kwa msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unamaanisha Salah asifunge goli hata moja kuanzia sasa mpaka mwisho wa Msimu then Huyo Punguani sijui Higuan afunge goli 17 au?

Bro bangi haikufai iache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom