Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mda mwingine nawaza klopp aitoe timu huko UEFA tubak kuwaza EPL pasi na hvyo tutaumia maana squad depth yetu ni ndogo sana wachezaji watachoka na injury zitaongezekaa siku hadi siku

All in all IT Z COMING ANFIELD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi injury maranyingi ni kati ya December na January tu Mkuu!

Hii inatokana na kuwa Timu zinakuwa na michezo mengi katika kipindi hichi...

Na ndiyomana Man City December walipoteana kwa injury.....
Sisi tokea December tuliandamwa na injury lakini sasa tunaelekea kwenye unafuu...
Arsenal tokea December mpaka sasa wanaandamwa na injury...
Spurs bado anaandamwa na injury kwa Key Players wake Harry Kane na Dele...

Lakini kuanzia February huwa timu nyingi zinakuwa free from injury kutokana na Kuwa na Mechi Chache kwa kila week..

Kwahiyo Hata ikipita February hatutokuwa na injury hata moja kwani AOC na Gomez nao itakuwa tayari wamesharejea.

Kwahiyo haina haja ya kuipotezea UCL bali tutapambana mpaka mwisho wa khatma yetu.
 
Grujic ni injury ndiyo zinamsumbua lakini last night kapiga mpira mkubwa sana against Schalke04
 
Hizi injury maranyingi ni kati ya December na January tu Mkuu!

Hii inatokana na kuwa Timu zinakuwa na michezo mengi katika kipindi hichi...
Nikuweke sawa kidogo katika hoja yako hii ya timu kuwa na michezo michache kuanzia February...
Hii si kweli,bali ni kinyume chake,yaani kuanzia February timu nyingi zitakua na michezo mingi zaidi,hivyo probability ya timu kuwa na tatizo la majeruhi inaongezeka kuanzia mwezi February na kuendelea...
Kwanini,timu zitakuwa na michezo mingi zaidi kuanzia February na kuendelea,coz hiki ni kipindi ambacho mechi za katikati ya wiki EPL zitaongezeka,plus kombe la FA,plus UEFA or EUROPA...
Kwahiyo kuanzia February,timu nyingi zitakua na michezo mingi zaidi,hivyo tatizo la majeruhi litaongezeka zaidi...
Unafuu utapatikana kama timu zitatolewa kwenye makombe ya Ulaya na FA..!
So tegemea kusikia majeruhi wakiongezeka kwa timu za EPL,hasa zile timu pendwa..!
 
Keita kwasasa tuukubali ukweli kuwa performance Yake ipo chini sana.

Kwahiyo combi ya Mido yetu kwa sasa ni GINI-FABI-HENDO.

Akipona AOC basi combi yetu itakuwa GINI-FABI-OX.

Keita anahitajika aimprove kiwango chake kwanza.

Hata kwa form yake ya sasa hivi Hendo au Gini sioni kama wanastahili kumuweka Benchi Keita
 
Nikuweke sawa kidogo katika hoja yako hii ya timu kuwa na michezo michache kuanzia February...
Hii si kweli,bali ni kinyume chake,yaani kuanzia February timu nyingi zitakua na michezo mingi zaidi,hivyo probability ya timu kuwa na tatizo la majeruhi inaongezeka kuanzia mwezi February na kuendelea...
Kwanini,timu zitakuwa na michezo mingi zaidi kuanzia February na kuendelea,coz hiki ni kipindi ambacho mechi za katikati ya wiki EPL zitaongezeka,plus kombe la FA,plus UEFA or EUROPA...
Kwahiyo kuanzia February,timu nyingi zitakua na michezo mingi zaidi,hivyo tatizo la majeruhi litaongezeka zaidi...
Unafuu utapatikana kama timu zitatolewa kwenye makombe ya Ulaya na FA..!
So tegemea kusikia majeruhi wakiongezeka kwa timu za EPL,hasa zile timu pendwa..!

Mkuu acha ubishi kwa jambo lililowazi!

December tumecheza michezo 8 jambo ambalo haliwezi kutokea kwa mwezi wowote kati ya iliyobakia...

Sidhani kama mtu anayefuatilia EPL anaweza kuandika Comments hii!

February nzima tunacheza michezo 5 tu then hiyo michezo mengi inatokea wapi?

Au unadhani Europa na CL inarudi katika hata ya Makundi kama ilivyokuwa December ndiyomana ukasema kuanzia February michezo inakuwa mengi?

Tuingie kwenye Facts sasa!

Let's ratiba ya Timu yoyote hapa Kwa Mwezi wowote kuanzia February hadi May, Then nitakuletea Ratiba ya Timu hiyohiyo ya December na January.

Au kama huna Facts kachingulie ratiba ya December uone Mtu ndani ya Wiki moja anavyocheza michezo 3. Baadae unganisha na ratiba ya January uone Mziki wake.

FACT yangu:

December tulicheza na:
1 vs Everton
2 vs Burnley
3 vs Bournemouth
4 vs Man United
5 vs Wolves
6 vs Newcastle
7 vs Arsenal
8 vs Napoli

Sasa nawewe lete Fact yako kwa miezi iliyobakia ratiba yetu ilivyo ili tupate Conclusion kuwa Kumbe tunakoenda ndiye kwenye Msongamano wa Mechi mana huenda umesahau kuwa CL kila baada ya Wiki 2 unacheza Home na Baada ya Wiki 2 unacheza Away.

Na unapocheza FA au Carabao ligi inasimama kama ilivyosimama Weekend hii.
 
Hata kwa form yake ya sasa hivi Hendo au Gini sioni kama wanastahili kumuweka Benchi Keita

Sio Keita tu hata Achanganywe Keita na Fabinho basi Kwa pamoja hawana uwezo wa kumueka Benchi GINI...

Usimfananishe GINI na mchezaji yoyote pale Liverpool...

Na Facts ya pekee Tazama Mechi yoyote ambayo hajacheza yeye uone tunavyoyumba..

Huyo Fabinho kama Hajacheza na GINI basi uwanjani huwa kama mzururaji.
Mfano mdogo Mechi ya vs Palace kukosekana GINI basi defence yetu ilikuwa kama ya Lipuli FC.

GINI ndiyo Midfielder pekee kwasasa ndani ya Liverpool ambaye ni Outstanding kwa Mechi yoyote hata kama ni big games ambazo mido zetu nyingi hupotea.

Kama unatazama mpira Livescore basi sina cha kukwambia! Lakini kama unatazama Game Live basi angalia GINI anachooffer kwenye Midfield.

Kwasasa Kwa kiwango alichonacho Keita hana uwezo wa kuanzia ahead of GINI wala Xhaqiri.

Labda aboreke.
 
Huwa nachukia sana watu watu mnaojivika ujuaji kuliko watu wengine..!
Hivi wewe ulikua unaizungumzia timu yako pendwa ya Liverpool au umezungumzia timu zote za EPL..!?
 
Mkuu ukiachana na maneno yote put some respek to Lipuli fc
 
Huwa nachukia sana watu watu mnaojivika ujuaji kuliko watu wengine..!
Hivi wewe ulikua unaizungumzia timu yako pendwa ya Liverpool au umezungumzia timu zote za EPL..!?

Ujuaji kukuekea Facts?

Mimi nimezungumzia Timu yangu ya Liverpool na Timu Nyengine.

Mimi nimeweka Ratiba ya Liverpool ya December, Sasa wewe weka Ratiba za:

Man U ya December
Chelsea ya December
Arsenal ya December
Spurs ya December
Man City ya December

Namimi nitakuekea za kwao za February na March halafu tuangalie Je watakuwa na Mechi nyingi zaidi kuliko walizokuwanazo November & Decembe kama ulivyodai? Au watakuwa na Mechi kidogo kama ninavyodai!

Shida iko wapi? Si weka tu Facts uniprove wrong! Hapa tunakwenda kwa Facts na si kutafuta huruma brother.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom