Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henderson man of the match? no wonder we conceded 3 looool

Klopp playing Keita out of his preferred position again, he's literally doing what Mourinho did to Pogba.

ruining Keita, so painful
Hahaha he silenced his critics today.

The backline and the keeper were shaky today, found out of position most of the time, poor marking (lapse of concentration). We are lucky we got away with all three points.

The game was dramatic especially in the second half. It gave me chills yo 😂
 
Wakuu aisee leo ilibid niingie vibanda umiza, kwakwel game ya leo nlkuwa mpaka natetemeka, jaman Crystal palace sio watu wazuri kabisa.

Thanks God leo kuanzia Mido mpaka foward zilikuwa nzuri sana, Henderson leo nimempenda anastahil kuwa man of the match, leo no back passes jamaa anakaba kwa akili na anafanikiwa kukamata mipira then anaisambaza mbele tu cross passes kama za Fabhino zile.

Keita kaperfom vizur japo naona ana uoga kudribble mipira, Shukuran kwa kutupatia Assist 1, huyu akiaminiwa na kuplay 2 more games hakika atakuwa stable.

Shaqir kapotezwa kabisa, no impact kwa mechi hiz mfulilizo kuanzia ya City, Brighon na leo.

Beki zetu (Matip, VVD na Kipa Allison) aisee leo wamezingua sio siri, yani tumepigwa goli za kawaida ambazo zinazuilika na ndo huwa tunazuia siku zote. Hapa Klopp naona anatakiwa atafute January window beki mmoja aisee.

Gini, TAA, Fabhino wote majeruh kwa sasa. Hata mmoja wao akirud hawez kuwa fit kupambana mechi zote za EPL na UCL. Bado naamin maamuz magumu ya kufanya usajil january hii haiepukiki.
 
Vipi updates za Fabinho? Maana sijajua extent ya injury yake bro
 
Hahaha he silenced his critics today.

The backline and the keeper were shaky today, found out of position most of the time, poor marking (lapse of concentration). We are lucky we got away with all three points.

The game was dramatic especially in the second half. It gave me chills yo 😂

Damnn

need to watch it hahahaha
 
Vipi updates za Fabinho? Maana sijajua extent ya injury yake bro

Kuna hii info but bado hawajasema for how long atakuwa nje.
the_anfield_daily-20190120-0002.jpg
the_anfield_daily-20190120-0002.jpg
the_anfield_daily-20190120-0002.jpg
 
Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
 
Upepo upp kwenu wakuu maana mnapiga magoli hayana hata fomula watu wanaingia mpaka kwenye nyavu bahatibahati tu dahhhh

All in all huyu ZAHA ni hatari sana jana mmenusurika ktk tundu la sindano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom