Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Manure hao ukiwaangalia wanapata matokeo.ila wana udhaifu, njoo alhamic uone kipigo ninachowapa kwenye FA CUP niwaoneshe kuwa manyua ni wale wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo?
Habari za siku nyingi ndugu yangu...
