Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahaaaa huku mtaani yupo mmoja shabiki nguli wa leicester humwambii kitu kuhusu hilo chama ana mtoto jina lake VARDY......mimi binafsi nimeshuhudia vipigo vikali nikiwa gunnerz kama kile cha 8 dhidi ya man utd na 6 dhidi ya chelsea pia 5 dhidi yenu lakini haikuwa sababu ya mimi kuhama timu,kutukana wachezaji wala kocha sanasana ni kupongeza wapinzani wangu.......huo ni ushabiki ....naamini leo hii hapa liverpool ikipigwa idadi hiyo ya magoli nina uhakika ipogolo utabaki hapa na Malafyale mkiuguza majeraha huku kina fekelo wakiingia mitini hahahaaaaaaaaaa

FURAHA YANGU NI KUONA UWEPO WA UWINGI WENU HAPA JAMVINI MAANA NAPATA MENGI SANA KUPITIA NYINYI INGAWA NAJUA IWAPO KAMA MEI IKAWA NDIVYOSIVYO BASI HAPO FEKERO WATAINGIA MITINI.....
Mbona liverpool imeloose UCL final may dhidi ya madrid Good reds wa humu hawakukimbia

Ile Gerard slip dhidi ya chelsea bado hao mnaosema ni feki hawakukimbia
hodgson analeta shit players kama Konchesky bado watu walikuepo humu(maybe hawakua maarufu)
Tukubaliane tu kwamba watu hawakimbii thread yao bali ni wanatofautiana tu kimtazamo

Top reds wabakie
Good reds wabakie pia
NB:ni wa JF😂😂
 
IMG_4938.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom