Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Didnt watch the game today

heard the gammon head got a red card

how was Naby? shit at LW again? i mean why paying 50m for a CM and play him as a left winger?

heard Fabinho got injured? any news?
with Crystal at Anfiled t goona give a u horserace, i dont know how bt Crysto always come live in this ground.

Keita was not as we has hoped still being played out of position, he is struggling.

Milner as u know wt ths UK players he wont shy away from a tackle 'forgetin' he ws on a yellow, no complain he deservd.

Without Gini we were lacking th real tempo in th middle, Nice tho Henderson stepped up damn well.

Milner tho was fault for th 1st goal we conceded, he was a menace going foward, that boy is fighter even wt his age he surely give his all for th team.

first half we lacked concentration on the final 3rd bt on earliest second half th boys must have listend to th gaffer maana they meant business.

Allsion positionwise wsnt th best in th manner we conceeded this goals. I bliv t one if those dem days hopefuly he get back to his best.

Fabinho am yet to hear th extent if his injury. so nice though he was injured a bit late.

Camacho got a taste i gues he has agreed to remain n not join Sportin if he get some game tym.

Wt Milner reded, TAA injured, Fabihno injured Klopp has ten days to work wt th kids n who to play RB if not any single snr il b ready to face Foxes.

All in all th game ws top top cracker, nice th 3 point remaind at home.
 
Upepo upp kwenu wakuu maana mnapiga magoli hayana hata fomula watu wanaingia mpaka kwenye nyavu bahatibahati tu dahhhh

All in all huyu ZAHA ni hatari sana jana mmenusurika ktk tundu la sindano
wanasema winning "ugly" yaani hata ukiwa hucheza kwa hio formula pointi unajikusanyia, na hio ni sifa ya timu inayosaka ubingwa maana siku hazifanani mkuu.

kazi inaedelea vipoa sana.

YNWA
 
Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Endelea kuota na kujenga ghorofa usingizini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu kipigo cha city kilikupoteza na hatimaye umerudi hahaha kufungwa sio kuzuri hasa kwa fekelo
We ongea tu Dully. Kupotea haimaanishi kukimbia kwan ningeshakimbia miaka yote hiyo ambayo tumeenda miaka mitupu trophiless. Huwa nakuwa hapa kiangazi ama masika. Na pia hata tukishinda naweza nisiwapo, fuatilia tu. Ila nikiwapo utajua tu.

We endelea kutengeneza maghorofa usingizini. Man utd anakuja kukutoa hapo ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Nilishawaeleza kitambo sana sometimes ukiona umetoka kuvuta bange kaa utulie moshi ukiisha kichwani ndo uje upost, lakini hamuelewi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Mkuu unaacha kupambana na timu yako ambayo mnapigwa na gar la mkaa km arsenali unakuja kutupigia ramli kwa taarifa yako tu gomez, arnod na wijnederm wote watakuwa available next game vs Leicester

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaa unamtoa CLYNE kwa mkopo ukitegemea Trent na backup yake ya viraka Milner na Fabinho huhuhu sasa TAA,FABINHO injury ..MILNER red card hahah next game vs Leicester waliojeruhiwa na wolversampton tafuteni katoto mkatupe kule RB kawe chochoro na sioni mkiepuka hiki kichapo cha pili....this is EPL
Halisi mwenzio si anasema Clopp hakosei?jiulize sasa kama mshabiki kulaumu kitu kama hicho ni kuchukia team?
 
Keep on dreaming...
 
Halisi mwenzio si anasema Clopp hakosei?jiulize sasa kama mshabiki kulaumu kitu kama hicho ni kuchukia team?
Hamujamuelewa vizuri mwana LIVERPOOL NGULI Malafyale sio kwamba Jk hakosei ila kwa hapa hakuna anayejua zaidi ya JK na huo ndio ukweli, matatizo ya Keita,hendo,fabinho,lovren n.k yeye anayajua zaidi kuliko wewe uliye huko malamba mawili umeshashiba chai na mihogo unakuja hapa kusema KLOPP hafai wakati yeye anakuwa na wachezaji ana kwa ana akijua strength na weakness zao...its kind of UPUUZI

Mbaya zaidi timu ikipata +results munakuja hapa na mapambio ya harusi,but ikiwa kinyume chake munakuja na nyimbo za matusi kwa kocha na british players especially lecapitain HENDO ila jana kafanya poa sijaona fekelo yeyote anayenyanyua mdomo wake kumsifia.......fekelo acheni unafki
 
He's not a flop but kila siku zinavyozidi kwenda Klopp ana-fail kumanage Keita's confidence issues

wont be suprised if he will turn out to be a flop at this rate..

he's the most natural gifted talented footballer in our squad, i dont know why we wasted 50m on him, kama hii ishu ikiendelea his Agent should try to move him on, haina maana ya kuwa kwenye club ambayo Kocha hakuamini

kama nilivyosema kwa Faby, players huwa wana adopt kwenye new system kwa kuwachezesha mara kwa mara, siyo kuwaweka bench.
Keita mlicheza kamari tu hakuna kitu apo.

EPL sio ya kuleta viungo wepesi kama uyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamujamuelewa vizuri mwana LIVERPOOL NGULI Malafyale sio kwamba Jk hakosei ila kwa hapa hakuna anayejua zaidi ya JK na huo ndio ukweli, matatizo ya Keita,hendo,fabinho,lovren n.k yeye anayajua zaidi kuliko wewe uliye huko malamba mawili umeshashiba chai na mihogo unakuja hapa kusema KLOPP hafai wakati yeye anakuwa na wachezaji ana kwa ana akijua strength na weakness zao...its kind of UPUUZI

Mbaya zaidi timu ikipata +results munakuja hapa na mapambio ya harusi,but ikiwa kinyume chake munakuja na nyimbo za matusi kwa kocha na british players especially lecapitain HENDO ila jana kafanya poa sijaona fekelo yeyote anayenyanyua mdomo wake kumsifia.......fekelo acheni unafki
Sasa mbona umeponda kwa kumtoa Clyne akimtegemea yule mzee?

Anajua zaidi ni kununua mchezaji zaidi ya milion 50 aje kumpanga nnje ya nafasi yake?anajua zaidi anataka ubingwa anamtoa mchezaji mzoefu amtegemee kinda?

Anajua zaidi ni kumtoa Origi aliemfikisha fainal kwa mkopo na kumtegemea Solanke?

Tutoe ushabiki Matip na Lovlen nani kamzidi mwenzie?
 
Lovren ni jembe la kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom