Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo kulikua na 'lapse of concentration' pale nyuma kuanzia kipa na mabeki wake.

Nadhani mabadiliko ya personnel pale nyuma ndio tatizo ambalo limetufanya leo tuka concede goli tatu ambazo naweza kusema kuwa poor positioning ya kipa na poor marking ya mabeki ndio chanzo.

Cha kujivunia ni kuwa pamoja na team kubadili personell karibu kila mechi (ina maana hatujaweza kuwa na zile CB partnership week in week out tokea ameumia Gomez ni mara Matip, Lovren, Fabinho)

Tushukuru tuna versatile players ambao wanaweza ku adjust kulingana na maelekezo ya mwalimu, Milner na Fabinho ni mfano mzuri.

Najua mwalimu ameona tulipozembea leo na next match vs Leicester baada ya siku kumi itakua nzuri maana wanaweza kurejea wachezaji kama Gomez na possibly Ox Chambo.

Kuna tetesi kuwa team inaweza kwenda Dubai kwa siku kadhaa kwaajili ya kubadili mazingira kidogo na ku train kwenye mazingira yenye hali ya joto.

Six more points six we lost to City, it's a huge positivity bar the three goals we conceded today. We'll improve.

Let's all trust the gaffer and the lads.

Happy times/moments looming in the horizon..

YNWA
 
Klopp anajilaumu kiaina
IMG_20190119_213700_939.jpeg
 
Huwa sielewi mchezaji kama Zaha anakuwaje Palace mpaka sasa...He's too good for Palace.

Ukiacha front 3 za hapo Liver...Sioni nani ana kiwango cha Zaha

Sent using Jamii Forums mobile app
palace wanajua huyu ni dhahabu kwao kama sikosei contract yake mpya ana £150k per week..

kumng'oa pale Parish atadia saidi ya £70m...

ngoja tuone ikifika Juni pengine Klopp ataamua anatufaa...

hata hivyo nadhani alivyokua flop Man u timu nyingi zilimuona mchezaji wa kawaida, ndogo hakufa moyo alizidisha bidii na sasa amekua bonge la mchezaji..

Spurs, Chelsi washamchungulia mara kadhaa...huyu hapa hatabaki muda nrefu.
 
Mimi nadhani tufocus zaidi kwenye kushinda sisi wao pressure iwaue watajua wenyewe.
yap mechi bado nyingi mno, wao kuna wakati watapoteza tu na sisi pia ndio soka ilivyo..

sisi tudili na yetu mpaka mechi ya mwisho vs Wolves Anfield itajulikana mbivu na mbichi..

kwa perfomance ya leo wakuu ni ujumbe tosha kabisa, pamoja na majeraha tulionao tumejipanga kupambana mpaka mwisho wa msimu.

good news Ox is training well, by end Feb tunaweza kumuona..
 
ITV hawajawahi kuonyesha EPL, wao walikuwa wanaonyesha Champions League kupitia CFI tu. One game live inaanza saa tano kasorobo halafu nyingine recorded inaanza saa saba usiku.
Umeiona hiyo alama ya / niliyoiweka hapo?au
 
Guys do you remember this day. Ulikua wapi? Siku hii mimi nilikua Sinza Meeda, nilipata temporary paralysis sikuweza kuondoka mpaka after a few hours hata beer nilizokuwa nimekunywa sikusikia stim yake

Japo matumaini yalishafifia katika ile game ya Chelsea ila hapa ndio kabisa jamaa walipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza letu.View attachment 999521View attachment 999523
images%20(2).jpeg
 
yap mechi bado nyingi mno, wao kuna wakati watapoteza tu na sisi pia ndio soka ilivyo..

sisi tudili na yetu mpaka mechi ya mwisho vs Wolves Anfield itajulikana mbivu na mbichi..

kwa perfomance ya leo wakuu ni ujumbe tosha kabisa, pamoja na majeraha tulionao tumejipanga kupambana mpaka mwisho wa msimu.

good news Ox is training well, by end Feb tunaweza kumuona..
Leo nimeona pengo la mholanzi kwenye middle...


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom