Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ushindi umepatikana kibishi sana.

Crystal Palace walijipanga kutuharibia.
Mkuu hawa jamaa hua si watu wazuri kwetu.

Team work imetusaidia kupata huu ushindi.

Salah bado anapapara maana kuna pasi tatu kapokea za kufunga na zimepotea kwa muda huu tunapumzika Klopp na jopo la makocha lazima walifanyie kazi..

YNWA
 
Can we say ni Gini effect ya kutokuwepo kwake leo.?
inaweza kua yes or not.

All in all palace toka comeback ya 3-3 2014 wamekua wagumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili gundu la hawa Palace tumshalimaliza, sasa ni mwendo mdundo tu.
Although next game nayo itakuwa ngumu coz Leicester City kapigwa, kwahiyo atakaza sana kwenye mechi yetu lakini TUTAMPIGA tu!
 
Hili gundu la hawa Palace tumshalimaliza, sasa ni mwendo mdundo tu.
Although next game nayo itakuwa ngumu coz Leicester City kapigwa, kwahiyo atakaza sana kwenye mechi yetu lakini TUTAMPIGA tu!
mkuu anakuja Fortress ya Anfield hivyo atapigwa tu endapo vijana watatulia kama leo naona point tatu muhimu zikibaki nyumbani.
 
hata Allison leooo duh nadhani position wise hakujapanga poa...

otherwise t was nice response by th boys, salute Henderson leo hajatwangusha without Gini there he has played well.

Keita is not clicking yet.

Keita huo upande anaopangwa tutaendelea kumuona "mbovu" tu mpaka pale atakapopangwa nafasi ile aliyopangwa game ya kwanza dhidi ya West Ham United.
Nafikiri wote tuliona alichokifanya siku hiyo!
 
Keita huo upande anaopangwa tutaendelea kumuona "mbovu" tu mpaka pale atakapopangwa nafasi ile aliyopangwa game ya kwanza dhidi ya West Ham United.
Nafikiri wote tuliona alichokifanya siku hiyo!
sawa mkuu nimekwelewa, Klopp bana hua ngumu kumwelewa nwei siku akimpanga huo upande na akafanya yake naamini ndio itakua nafasi yake ya kudumu...
 
8de0a4dd2120afceab6a9b7be6acdfd2.jpg

cc MosDef ... unamuona El nino hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom