Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Fowler Ian Rush damn we have been blessed with such great finishershahahahahaha
so nice man
Fowler Ian Rush damn we have been blessed with such great finishershahahahahaha
so nice man
If Keita wil stay injury free i bliv circumstances il present themselves to nail his place n cement t properly,Kiukweli mimi issue ya Keita inaniumiza sana, mpaka kuna kipindi huwa nakufuru kwa kunwombea Hendo injury ya hata kukaa nje miezi 5 hivi.
Unatumia hela nyingi kununua gari zuri halafu unaendelea kuendesha la zamani. Nashangaa sana.
Nilijua tu maana upo kama maua ya saa 4 kuchanua na kunyaukaAuba sawa na Adam Salamba tu![]()
![]()
ALISSON - VVD - GERRARD - COUTINHO - SUAREZ
No mimi napenda futbol nimeanza kuangalia ligikuu ikioneshwa DTV/ITV kama sikosei so soka damuniWewe una chembe chembe za Liverpool Halisi sema ndo hvyo Arsenal uliipenda zaidi.
Reina , VVD ,Gerrard, Kuty ,Suarez
Duh yamekuwa hayo tena mkuuWewe tunajua ni Liverpool HALISI, usiwaze post tu.
after th injury kweli amekua tofauti kabisa,without gettin th minutes even th best of ours il lose th momentum like (Keita), if Klopp cant use Origi then aodoke alete someone he can trust lets say Timo..
Boy has talents bt seems not good enuff for Klopp.
No mimi napenda futbol nimeanza kuangalia ligikuu ikioneshwa DTV/ITV kama sikosei so soka damuni



Kuna chances zipo za kumuuliza Klop maswali. Na anajibu.Swali Clopp alimnunua wa nini au halisi wanampelekea cha Arusha?
Fabinho amesema" Klop ni mwl mzuri, inahitaji patience unaposain Sept. Alipoona matip na gomes wana enjury aliandaliwa kucheza CB. Na akajifunza kujipozisheni na kumuvu na mpira.Nyie jamaa mnaumiza mbavu zangu, HALISI hawashindwi kufanya hivyo.
Wewe Hujui Soccer Management !!
Edo Kumwembe anajua zaidi kuliko wewe!
Trashiest as usual!![]()
![]()
Awe mvumilivu.Kiukweli mimi issue ya Keita inaniumiza sana, mpaka kuna kipindi huwa nakufuru kwa kunwombea Hendo injury ya hata kukaa nje miezi 5 hivi.
Unatumia hela nyingi kununua gari zuri halafu unaendelea kuendesha la zamani. Nashangaa sana.
Duh yamekuwa hayo tena mkuu
Arsenal special thread....na thread yeyote ambayo ipo active,Ushabiki wa kitu haujifichi mkuu, wewe katika hali ya kawaida jiulize kwenye hizi threads za timu, ni ipi unapenda kuitembelea zaidi?