Fekir has handed in a Transfer request (acc to reports)
doubt it if its us,
My 5A teamSo nimeona hii kwenye Anfield HQ, what is your 5 A - SIDE TEAM kutokana na wachezaji hawa pamoja na positions zao?
Mine ni: Reina-VVD-Steven Gerrard-Coutinho-Torres
ya kwako ni ipi?
View attachment 996579
Goli na assist.. Derby anashinda kwa pens vs sotonHarry wilson ni zaidi ya kipaji.. i cant wait to see him..in reds shirt
Alison, vVD, SG8, Cou, Suarez.So nimeona hii kwenye Anfield HQ, what is your 5 A - SIDE TEAM kutokana na wachezaji hawa pamoja na positions zao?
Mine ni: Reina-VVD-Steven Gerrard-Coutinho-Torres
ya kwako ni ipi?
View attachment 996579
Kabisa mkuu
Huyu haendi kama suso aseeKabisa mkuu
Huyu dogo anansahaulisha jinsi BR alivomuachia suso kirahisi rahisi
What a promising future
Nipo upande wako mkuu Clopp kesha kariri wchezaji wake mpaka sub anawafanyia haohao tuKwa hapa tulipofika ni heri Fekir afikirie team nyingine ya kwenda na sio huku LFC ataishia kupata stress tu.
Huku wakna Lallana na Hendo wakiendelea kupeta.
my 5 aside
my 5 aside
Dudek
VVD
Gerrad
Alonso
Surez
So nimeona hii kwenye Anfield HQ, what is your 5 A - SIDE TEAM kutokana na wachezaji hawa pamoja na positions zao?
Mine ni: Reina-VVD-Steven Gerrard-Coutinho-Torres
ya kwako ni ipi?
View attachment 996579

Sorry bro for that Judas (Cou)
Reina, Hyppia, SG, Kuyt, Suarez
My 5A team
Allison... VVD..... Gerrard.... Luis Garcia..... El pistolero
n that he ws bought at £24m shows how th market has become unpredictable..imagine buying £27m Benteke n boy cant even score nor assist...
FSG has made some damn profits found Nando bought at £24m n sold at £50m, bought injured Coutino for "£8m" n selling at £146m, found Sterling bought at £7m n sold at £49m, bought Surez for £22m n sold him at £75m
Flops nao wamo Andy Carol, Lalana, Henderson, Markovic, Origi, Karius, Mignolet, Joe Allen, Moreno n.k
The market has changed completly nowdays bt grand at least we now go for quality.
lol il go for Surez, man that boy do know how to assist,shoooot n score...
Torrez was Elnino...in his prime noma sana
Keita ananiumaga sana, namkubali sana huyu Mpiganaji, navyomuona bench huwa napata ukakasi.
I wish hata Man City wamchukue huenda huko ataenda kuaminiwa na kuonesha uwezo.
Muda mwingine huwa nawaza au ni sababu ya UAfrika wake ndio sababu ya kupuuzwa? How comes Henderson huyu huyu ambaye kila msimu ni mzee wa backpass, leo amkalishe bench Keita?
Jaman dunia ina maajabu yake.
Sorry bro for that Judas (Cou)
Reina, Hyppia, SG, Kuyt, Suarez