Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sure bro.
hakukua na haja ya kumsubiri whole year kuja kwake alafu aje awekwe mkekani tu...
Kadiri ya kutokuchezeshwa ndio kujiamini kunapotea which its among factors of good performance and classic

Sent using Jamii Forums mobile app
Nabby anapenda kucheza akiwa free. Achukue mpira from any angle, afanye dribling some distance ampunguze midfield wa adui, then aingie third part ya adui.
Hapo ataangalia ni nani yuko katika position muafaka ya kumpa final and clear pass afunge.
Kwa mfumo wa Klop anapata tabu. Jurgen anataka zipigwe passes from mid acheze na akina Gin.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio shabiki wa liverpool ila mumetaja wachezaji lakini kuna haya majembe....

Alonso
John anne riise
Steven Gerrad
Torres
Owen/Robbie Fowrer

Walikuwa wananipendeza kuwaona

Wewe una chembe chembe za Liverpool Halisi sema ndo hvyo Arsenal uliipenda zaidi.
 
Nabby anapenda kucheza akiwa free. Achukue mpira from any angle, afanye dribling some distance ampunguze midfield wa adui, then aingie third part ya adui.
Hapo ataangalia ni nani yuko katika position muafaka ya kumpa final and clear pass afunge.
Kwa mfumo wa Klop anapata tabu. Jurgen anataka zipigwe passes from mid acheze na akina Gin.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Swali Clopp alimnunua wa nini au halisi wanampelekea cha Arusha?
 
Nyie jamaa mnaumiza mbavu zangu, HALISI hawashindwi kufanya hivyo.
Ha ha haaa kama limbwata wamepewa watashindwaje kumpelekea mkuu.

Mana ukitumia akili haiwezi kua hoja japo mwalimu anaweza kumshauri mchezaji kuhama pozishen kwa faida ya mchezaji mwenyewe nankumlazimisha.

Ukiangalia jinsi Clopp alivyo muhitajai Keita niwazi kabisa anamipango nae. ikiwa mipango ni kumchezesha nje ya nafasi alio izoea ni haki kabisa kuamini unavuta ile yenyewe kabisa.
 
Dont think Origi is a flop

he was a decent back-up before his injury against Everton in 2016

actually Klopp preferred him ahead of Sturridge,

hajawa the same tangu ile injury
after th injury kweli amekua tofauti kabisa,without gettin th minutes even th best of ours il lose th momentum like (Keita), if Klopp cant use Origi then aodoke alete someone he can trust lets say Timo..

Boy has talents bt seems not good enuff for Klopp.
 
Nimeangalia kila anayechagua timu lazima VVD na SG8 wawepo, yaani hawa ni "common denominator", kipa na wale wawili wa mbele ndiyo wanabadilika!
SG8 was a real commander in n off th field, even swayed by El Galatico n Blues cash bt he choosed to stay aii that not so common nowdays..whats a player he was.
 
Ha ha haaa kama limbwata wamepewa watashindwaje kumpelekea mkuu.

Mana ukitumia akili haiwezi kua hoja japo mwalimu anaweza kumshauri mchezaji kuhama pozishen kwa faida ya mchezaji mwenyewe nankumlazimisha.

Ukiangalia jinsi Clopp alivyo muhitajai Keita niwazi kabisa anamipango nae. ikiwa mipango ni kumchezesha nje ya nafasi alio izoea ni haki kabisa kuamini unavuta ile yenyewe kabisa.

Kiukweli mimi issue ya Keita inaniumiza sana, mpaka kuna kipindi huwa nakufuru kwa kunwombea Hendo injury ya hata kukaa nje miezi 5 hivi.

Unatumia hela nyingi kununua gari zuri halafu unaendelea kuendesha la zamani. Nashangaa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom