Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

He's not a flop but kila siku zinavyozidi kwenda Klopp ana-fail kumanage Keita's confidence issues

wont be suprised if he will turn out to a flop at this rate..

he's the most natural gifted talented footballer in our squad, i dont know why we wasted 50m on him, kama hii ishu ikiendelea his Agent should try to move him on, haina maana ya kuwa kwenye club ambayo Kocha hakuamini

kama nilivyosema kwa Faby, players huwa wana adopt kwenye new system kwa kuwachezesha mara kwa mara, siyo kuwaweka bench.
sure bro.
hakukua na haja ya kumsubiri whole year kuja kwake alafu aje awekwe mkekani tu...
Kadiri ya kutokuchezeshwa ndio kujiamini kunapotea which its among factors of good performance and classic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana nipeni timu aseeh nile hela
shaffihdauda-20190115-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
So nimeona hii kwenye Anfield HQ, what is your 5 A - SIDE TEAM kutokana na wachezaji hawa pamoja na positions zao?

Mine ni: Reina-VVD-Steven Gerrard-Coutinho-Torres

ya kwako ni ipi?


View attachment 996579
Allison
VVD
Gerrard
Alonso
Suarez

to me Suarez was the best striker we ever had in 2000's with Gerrard na Alonso nyuma yake ni magoli tu.

Pepe was good ila na yeye ana shida ya kutocheza crosses
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom