Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kloop OUT
Buvac In
We miss Buvac too much,yy ndiyo kichwa cha Klopp,bila Buvac huyu Klopp si mali kitu kabisa na atafukuzwa Liverpool na ndiyo Buvac atapewa team!
Kuna watu hapa uwezo wao kuchambua soka mhhh!
Liverpool doesnt miss Buvac!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Language signifies juvenile in you

Lost 2-1 to the champs... Who destroyed ar5ena1... Not bad away loss to the best EPL team

Alaaaassss, we did the same as well.... Destroyed ar5ena1....

Asses have 5 defeats and many points behind the kops

You will never finish in top four
You Will Never Be Unbeaten.
 
Iwapo Arsenal itamaliza ndani ya Top Four Juu ya Man United ninajipiga Ban la kutocomment chochote kwenye Uzi wenu kwa msimu mzima wa 2019/20
this is football braza so epuka kujimaliza......hujui muda wala saa
usije ukaanza kutiatia huruma hapa na aibu kama zote
 
habari ni kwamba yule Mo-diver jana kaendelea kushirikiana na marefa kupeleka free 3 points pale anfield but ipo siku



Naona mumeshabadilisha gia agani!

Sasa vipi ni Mo Salah, Mo one season wonder au ni Mo Diver? 😀😀
 
Kloop OUT
Buvac In
We miss Buvac too much,yy ndiyo kichwa cha Klopp,bila Buvac huyu Klopp si mali kitu kabisa na atafukuzwa Liverpool na ndiyo Buvac atapewa team!
Kuna watu hapa uwezo wao kuchambua soka mhhh!
Liverpool doesnt miss Buvac!!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kuna ambae hayaogopi majogoo

 
Liverpool HALISI tuko hapa, tunachukua makombe manne msimu huu.

Nani ambaye hayaogopi majogoo?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀mkuu point zako za kuingia HALISI zilikuwa zishaanza kuongezeka ila sasa unazishusha kwa haya maneno kanga so utaendelea kuwa chipolopolo mpaka ufikiliwe tena😎😎😎😎
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀mkuu point zako za kuingia HALISI zilikuwa zishaanza kuongezeka ila sasa unazishusha kwa haya maneno kanga so utaendelea kuwa chipolopolo mpaka ufikiliwe tena😎😎😎😎

Sawa kiongozi mkuu wa Liverpool HALISI.
 
Liverpool HALISI tuko hapa, tunachukua makombe manne msimu huu.

Nani ambaye hayaogopi majogoo?


Kweli Mkuu sisi Liverpool Halisi mipango yetu ilikuwa ni Kuchukuwa makombe Manne!
Lakini tulipotolewa Carabao basi mipango yetu ikawa ni kuchukuwa Makombe 3 kwani Carabao likawa la kipumbavu.
Tulipotolewa FA basi mipango yetu ikawa ni kuchukuwa makombe 2 ya EPL na CL kwani FA ni la kipumbavu 😀😀


Kunasiku nilicheka mpaka basi hapa!

Nakumbuka vizuri kuwa last msimu wa 2016/17 tulimkataa Moreno baada ya mechi ya kwanza kuchomesha goli 1 dhidi ya Arsenal tuliyoshinda 4-3

Basi Mliverpool Halisi alitukosoa na kusema hatujui chochote klopp najua zaidi! 😀😀

Msimu uliopita 2017/18 baada ya kusajiliwa Robertson pia tukamkataa Moreno na tukataka achezeshwe Robertson, Basi Mliverpool alituambia Klopp anajua zaidi kumpanga Moreno, sisi hatujui chochote Robertson hawezi kucheza mbele ya Moreno!

Lakini cha ajabu hapa kuna siku alikuja na mpasho wake kuwa eti 'Klopp katuumbua kupitia Robertson kwani tulimponda kuwa kanunua mchezaji kutoka timu iliyoshuka daraja' ha ha ha ha ha

Jamaa anageuza maneno kila sekunde..

Kuna siku atakuja kusema hapa kuwa Alisson katuumbua kwani tulimponda kusajiliwa kwake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom