Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kribu kwenye upande wa Liverpool HALISI mkuuSawa malafyale mwenye liverpool yake sisi wote wavamizi haaahaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Don ni kweli kabisaGiving him +ve looks like a favor to me.
Huyu jamaa ana -ve contribution, kwa sababu ukiwa naye kwenye kikosi unakuwa na kazi ya kumlinda na kulinda wapinzani.
Na itakuwa powa Klopp atamsajili Lorenzo Insigne na Tom Werner ili waje atoe Challenge kwa Mane na Firmino respectively.


Huyu jamaa ni Comedian kweli!!!!
Iwapo ndiyo KEITA haendani na Mfumo wetu basi next Summer Klopp asajili Central Attacking Midfielder mwengine ambaye atakuja kupair na Gini-Fabinho.
Na itakuwa powa kama Klopp atawasajili Lorenzo Insigne na Tom Werner ili waje watoe Challenge kwa Mane na Firmino respectively.
Kuna baadhi ya wachezaji hawapendi kucheza nafasi tofauti na wanayo penda hakukua na haja ya kusajili kama nafasi ina mtu sahihi huu ni uharibifu wa vipaji au ufujaji wa pesa usio namaanaMkuu hakuna mchezaji aliyesajiliwa na klopp ambae aendani na mfumo,hiyo jezi ya keita alikuwa anavaa steven gerad ,msimu uliopita aikuvaliwa na mtu ilikuwa inamsubiria keita hiyo .
Keita ndio mtu sahihi,ni swala la muda tu kuendana na mfumo na klopp anavyotaka acheze,na nafasi anayocheza,kama unakumbuka msimu uliopita robertson alianza kucheza katikati ya msimu kwasababu alikuwa aendani na mfumo bado ,badala ya hapo kilicho fata ni history .
Kwa keita anapangwa hivyo hivyo azoee,japo kwenye mechi chache,mkuu klopp ni mwalimu mzuri sana awezi kushindwa kumfanya mchezaji aendae na mfumo wake wakati huyo mchezaji kamsajili yeye.swala la muda tu .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna msimu Mane alikua anafanyiwa sab na Origi alinuna ukanza na uvumi kua kuna sinto fahamMane na firmino wanacheza kwa moyo sana pale Liverpool ,wanafurahia kucheza Liverpool na Liverpool inawapenda na wao ndio wanajua hivyo.
Ukileta wachezaji wengine kama kuwa challenge utasababisha waondoke tu,tumeona kwenye timu zingine zilivyopotea,mchezaji anaamua kuondoka tu ili akapate namba apate namba timu ya taifa kwenye world cup.
Mchezaji kama anauwezo muache acheze sio kuanza kumuweka bench. Makosa madogo madogo kila mchezaji anafanya,hata vvd kuna mechi zingine anacheza chini ya kiwango.
Sent from my iPhone using JamiiForums