Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Na Wikihii Nimetembelea Kwenye Forums Nyingi kabisa na Mitandao Ya Kijamii na Nikagundua Kuwa FABINHO ni mchezaji anaependwa zaidi ndani ya Liverpool kwasasa kuliko Mchezaji yeyote yule.
Amewapiku Salah na VVD
Na Henderson ndiye mchezaji anaechukiwa ndani ya Liverpool kuliko mchezaji yeyote yule.
Sadio Mane ndiye mchezaji anaizidi kusahauliwa kwa kasi ndani ya Liverpool kuliko mchezaji yeyote yule.
Robertson na Alisson ndiyo wachezaji wasio na bahati zaidi ndani ya Liverpool kuliko mchezaji yeyote yule! Kwani ndiyo wachezaji wetu bora na muhimu zaidi kwenye timu lakini hawazungumzwi na Kumwagiwa sofa kama wengine.
Na TAA au Gomez atakuwa our Future Captain
Future captain ni VVD chief...
