Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

aisee namwombea sana legend wetu Rafa aibakize Newcastle kwenye EPL msimu huu halafu next season achape lapa akafundishe timu ya hadhi yake.
daraja hawashuki atakomaa kama msimu uliopita..

hata wachezaji hawamnunulii anaowahitaji Mike anawaza kuuza timu..

ishu kuu timu ipo sokoni inauzwa na Mike Ashley anakomaa bei kila mteja anaetokea wanashidwana..

Peter Kenyon kwa sasa ndio anainyemelea na wawekezaji kutoka Amerika na ubishi wa Mike sioni akiuzwa msimu huu
 
Today's perfomance ni pure reflection ya performances za August-November, shit-housing wins with no structure in the middle.

then, performances changed when Fabinho and even Naby walivyokuwa introduced kwenye midfield, these are type of midfielders ambao hawaogopi kucheza progressive passes/dribble/drive/turning with the ball/taking players on etc, the front 3 especially Bobby and Salah started to perform well after Faby got introduced in the midfield

today, Faby hakuwepo kwenye midfield and we saw the same toothless midfield getting bossed by Stephens in transitional phases, our midfield had no impact going forward or even opening up Hughton's min-deep block set up, sadly even Shaqiri couldnt help that dead Midfield partnership, guess Gini huwa anaumia sana moyoni akiambiwa "today you will partner Henderson", must be a tough job man

dont play that partnership away from home, we got lucky today
 
Hongera kwa kujitoa fahamu yaani watu wapo na current newz kuwa calabao out,FA out,bikra imetatuliwa kikatili,na UCL loading..............then ikifika mei utalia kilio cha mbwa hahahahahaha wenzio wananyoosha kwapa wewe unanyoosha bango la 5 kwa 1 dhidi ya Gunnerz hahahaha ingekuwa hivyo mm ningekuwa juu yako maana nimekupiga mpaka 8 kwa mtungi haha haha haha haha

Loserfools bana sasa hivi hapo hata damu haijakukauka dadadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa AAA
Loser's anthem

Kwikwikwii

Ass n' hole
 
Klopp anajua nani acheze lini na mechi ipi kuliko sisi wote hapa
Nakukumbusha tu!
ni kweli sababu yeye na jopo lake wapo nao mazoezini hilo halina ubishi..

kwa mechi alizoanza Fabi midfield ni ukweli usiopingika ame perfom vyema sana kulinganisha na Henderson...


nwei Matip apone angalau Fabi apate kurudi kati na Hnderson awe sub tu baada ya kua kazi ya pointi tatu muhimu ilishaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom