Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wanaomsifia Jordan Henderson
18 EPL apps, 0 goal, 0 assists, 1 yellow and one red
Keita
14 EPL apps, 0 goal, 0 assists, 0 yellow and 0 red
Fabinho
12 EPL apps, 1 goal, 2 assists, 3 yellow and 0 red
Mimi nafikiri Fab angepewa hizo fursa nyingi zaidi angefanya zaidi na kuadapt pia ligi pamoja na falsafa ya kocha zaidi kuliko Henderson au Keita
Klopp wants James Rodriguez ni January transfer window. Huyu baada ya kuwika WC ya 2014 nadhani anaishia kwani kacheza mara 8 tu na kufunga 3 bila assists yeyote. Arsenal walipoona dau kubwa (Zaidi ya paundi mil 60) waliishia mtini. Sasa Klopp sijui atamtumiaje huyu ambaye kama vile kachuja ila bei yake bado juu
hapa tuna nafasi ya kusajili hivyo Klopp asije leta maneno ooh tunapoteza cz fulani na fulani hawapo..
mtihani uliopo mbele yetu kwa Janauri na Febu ni hataree
Na hii timu yao watabaki na VVD wengine watatimkia kwingine wanakoweza kubeba makombeLiverpool hawana bahati
Baada ya 1990 ni Steve Gerard na Luiz Suarez tu ndio wachezaji waliokuwa na uwezo wa kubadili matokeo
Luiz alipoona hapo atakesha bila vikombe akatikia Barca yeye Gerrad akamua kufia timu
Hizi game 2 zimesababisha baadhi ya watu kukata tamaa naona.
Mimi bado ninaamini EPL is within reach, kama kocha hatapanic, Man City ambaye ni close rival tumeona naye anafungika, so muhimu ni kucheza bila kuangalia yeye ana fanya nini.
Tuna kikosi bora, ambacho kinaweza kusurvive EPL, Gomez na Matip watakuwa available soon. Pray for no injuries to VVD, Salah, Mane, Bobby, Allison, Fabinho, Robbo, Gini, Keita, TAA, Shaqir and Milner.
EPL is ours to lose, iff we don't play mid of Hendo, Gini and Milner in any single match.
Liverpool hawana bahati
Baada ya 1990 ni Steve Gerard na Luiz Suarez tu ndio wachezaji waliokuwa na uwezo wa kubadili matokeo
Luiz alipoona hapo atakesha bila vikombe akatikia Barca yeye Gerrad akamua kufia timu
Keita ni mfano wa Isco mzee baba hajatumika tu tuangalie na aina ya makocha wetu pia tunaweza tamani wachezaji wasio tumika atakuja Fekir apo utaambiwa hajafit mfumo bado Hendo anaendelea kuonhoza jahazi.
Naamini kama sio mashabiki basi Fabinho mpaka kesho angekua benchi
Mkuu unawachokoza LIVERPOOL HALISI?
Usimzarau Liverpool Messi bhana aka New Frank Lampard
Kuna watu ni vichaa eti LIVERPOOL HALISI labda ni Yeye na Mke wake na watoto wakeTop reds wa hapa Bongo ndiyo wanajiita Liverpool halisi now?
so embarrassing
hhahahahaha
Kuna watu ni vichaa eti LIVERPOOL HALISI labda ni Yeye na Mke wake na watoto wake
Kwahiyo Firmino aekwe benchi achezeshwe Origi?
Keita alijua Barca asingepata namba,
Kwa io unataka origi acheze af firmino akae bench?[emoji23] una mawazo ya ovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok boss lets see the coming consequencies za kumuacha Clyne kwa mkopo.Still huyo TAA bado mi simhesabu kuwa beki mzuri.Kabla ya huyo beki wa kisasa hajasifiwa kwa kutoa assists au kufunga inabidi tuanze kwanza kumsifia anavyoblock mashambulizi.Mbona Robo anashambulia pia but defending well upande wake na hatupigi kelele.Kimpimacho beki ni kulinda kwanza hayo mengine ya sijui modern na old ni masiasa tu kwenye mpira.Ukishindwa kulinda ukajua tu kushambulia unabakiaje beki sasa?
Bottom line ni Clyne bi beki mzuri kumuacha aondoke kwa mkopo ni makosa