Magezeti sio yanayotunulia Wachezaji Kwenye timu yetu.
Mpaka sasa Liverpool haina Mazungumzo na mchezaji yoyote hii January.
Kwahiyo ni Magazeti ndiyo yaliyotukosesha Mchezaji na si Liverpool kumkosa Mchezaji.
Liverpool tuna timu yetu ya Scouts na si Magazeti.
Kama umewahi kuona sehemu kuwa Klopp kaeka Dau lolote kwa huyo mchezaji basi weka ushahidi wako hapa.
Kama Hujui ujinga wa Media kuwa kazi yao ni kuuza Magazeti kwa Kutengeneza Rumours basi angalia hapa chini ↓↓
View attachment 987752
View attachment 987753
Sasa kama huzijui Media kuwa Wanaandaa Propaganda za tetesi kwa ajili ya Kuuza Habari nakutakia pole sana.
Kamaa Hujui Maana ya RUMOURS basi namuonea huruma mwalimu wako wa Shule kala hasara.