Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Mkikosa haikuwa target ya Klop! This so kiddishHata ukiona hivyo ujue kuwa siyo Target sahihi ya Klopp
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkikosa haikuwa target ya Klop! This so kiddishHata ukiona hivyo ujue kuwa siyo Target sahihi ya Klopp
kama mpira unaamliwa na MTU kufikisha timu sehemu Fulani basi Geroud anastahili kuwa mchezaji bora wa dunia kwa sababu alifikisha timu yake ya ufaransa fainali na wakachukua ubingwa wa WC.
Hendason anabebwa na wachezaji wenzake tu wenye vipaji sio kwamba kaisidia Liverpool kiivinyo.
Hivi katika sajiri hizi zenye ushindani kuna club iko tayari kuweka siri wazi kwamba wanamtaka mtu fulani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu inapomtaka mchezaji utaseka imeweka dau kiasi Fulani!!
Au utasikia Wanafanya Mazungumzo wala Hamna siri
Ni sawa na Media kuvumisha Real wanamtaka Hazard wakati ukweli ni Kwamba Real hawajaeka dau lolote kwa Hazard wala hawajafanya Mazungumzo yoyote na uongozi wa Chelsea
Hivi katika sajiri hizi zenye ushindani kuna club iko tayari kuweka siri wazi kwamba wanamtaka mtu fulani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi au gossip au rumors kama ulivyosema katika muktadha wa transfer market ina maana ya talking about someone's private or personal business. So unakuta media ina watu fulani katika vilabu vya mpira. Watu hao wanasaidia media hizo Kwa kuwapa baadhi ya info kuhusu sajiri. Mfano unakuta labda mm nipo katika scout team ya say team A, nakwakuwa niko scouting ina maana nina baadhi ya info kuhusu wachezaji kadhaa wanaofuatiliwa na club A.Magezeti sio yanayotunulia Wachezaji Kwenye timu yetu.
Mpaka sasa Liverpool haina Mazungumzo na mchezaji yoyote hii January.
Kwahiyo ni Magazeti ndiyo yaliyotukosesha Mchezaji na si Liverpool kumkosa Mchezaji.
Liverpool tuna timu yetu ya Scouts na si Magazeti.
Kama umewahi kuona sehemu kuwa Klopp kaeka Dau lolote kwa huyo mchezaji basi weka ushahidi wako hapa.
Kama Hujui ujinga wa Media kuwa kazi yao ni kuuza Magazeti kwa Kutengeneza Rumours basi angalia hapa chini ↓↓
View attachment 987752
View attachment 987753
Sasa kama huzijui Media kuwa Wanaandaa Propaganda za tetesi kwa ajili ya Kuuza Habari nakutakia pole sana.
Kamaa Hujui Maana ya RUMOURS basi namuonea huruma mwalimu wako wa Shule kala hasara.
Lallana will be replaced by wonderkid from uturuki anaitwa Abdukadir Omur....price tag yake ni.£27m
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't be stupid, mm mtu akishaanza mindset za kwamba yeye anajua kila kitu huyo huwa sina time naye tena. Kuna vitu unasema ni sahihi na vingine ume-missunderstandInaonesha habari za soccer unazipenda lakini wewe hazikupendi..
Hakuna hata Timu mmoja iliyokuwa tayari kumuuza mchezaji wake kwa siri.
Unapokwenda tu kueka dau kwa Mchezaji basi inayomiliki mchezaji inaenda moja kwa moja kwenye Media kuleak hizo habari ili kuleta ushindani kwa timu nyengine nazo zieke dau kubwa kuliko lako ili imuongezee thamani mchezaji huyo.
Ni sawa na tulipomtaka Alisson basi Roma data walivujisha habari kwenye Media ili Chelsea, Real na Arsenal nao waeke dau coz nao walikuwa wakitafuta kipa.
Au Chelsea walipomtaka Joginho wakaweka dau nao Napoli Fasta walivujisha Habari ili kufanya Klopp nayeye akaweke la kwake lakini Bahati nzuri Klopp hakueka dau na badala Yake akaenda kueka dau kwa Fabinho na Kumnunua.
Ni sawa na Hizi habari za Pulisic BVB walizisambaza Fasta ili Man United na Liverpool nawao wakaongezeke kueka dau Apande thamani lakini Bahati Nzuri Man U na Liverpool wana target zao mbali washazozilenga.
Au huu uvumi wa Timo Werner ni Kwamba Laipzig wanazisambaza kuwa Liverpool wanamtaka ili Man Unite na Chelsea wanaotafuta Striker waende Wakaeke dau Kubwa ili mchezaji wao apande thamani asijeuzwa kwa Bei ndogo.
Kwahiyo kama hujui Soko la Wachezaji linavyokwenda ni bora ungenyamaza
Sijui tu kwanini sivutiwi na kusajili watoto, like wanatupotezea muda tu
Don't be stupid, mm mtu akishaanza mindset za kwamba yeye anajua kila kitu huyo huwa sina time naye tena. Kuna vitu unasema ni sahihi na vingine ume-missunderstand
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi Mambumbumbu wanaamini Kuwa Ni Henderson pekee ndiye aliyetufikisha Fainali, Waliobakia Kina Salah, Mane, Firmino, VVD, Robertson, Gini, Milner, TAA hawakuwa na lolote Bali walikuwa ni Wazururaji tu wakimtegemea Hendo awafikishe Fainali.
Hata Mimi pia sivutiwi na usajili wa Vitoto kwani sio maranyingi huwa Vinatoboa hivi vitoto.
Vitoto vinavyoweza kutoboa ni vile vilivyotokea Academy tu kama walivyotoboa TAA na vile vilivyonunuliwa ikisha Vikatupwa Academy kama Gomez na mtarajiwa Ki-Jana.
Lakin hivi vitoto vya kununuliwa halafu directly vikatupwa Timu ya Wakubwa kama Solanke na Grujic basi si rahisi kutoboa.
Wachezaji Wanaotoboa kirahisi ni wale wanaonunuliwa wakiwa Matured kama Salah, Mane, Firmino, OX, Xhaqiri, Fabinho, Keita, VVD, Alison, Gini, Robertson, etc.
Lallana will be replaced by wonderkid from uturuki anaitwa Abdukadir Omur....price tag yake ni.£27m
Sent using Jamii Forums mobile app
Wont mind if we lose against Wolves tomoz
to be honest.
concentrate on the league and CL, as we dont have enough quality players to compete fully in 3-different competitions.
Mfano kuna huyu dogo anaitwa Allan Rodriguez mara work permit sijui nini tangu asajiliwe anazunguka tu on loan, na watu wanaweza kuwa wamemsahau
Labda kama tunawataka kwa ajili ya biashara it's okay
We need a win to boost a morale
Kama umestuka klopp huwa anashindwa ku-handle pressure za nje ya uwanja so to put easy PL way, must win tomorrow