Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wewe ushafumuliwa rinda tuliaMimi nilikuwa sijui kama bado mbwa jike akiwa kwenye "heat", wanahangika kutafuta mbwa dume,hata nnje ya mitaa yao.
Naona kuna "wenzi" hawachoki kutafuta "marijali" wa mitaa ya "majogoo". Kutwa kuchwa ni kunukuuu wanaume tuu.
Usijitoe fahamu nakujua una akili zako timamu,Nipe tokeo LA jana5-1 mkuu, naona kwako kuna sherehe lakini umeacha kwako unaenda kusherehekea kwa jirani, hii ni dalili ya sherehe yako kukosa mvuto, au ndio blaza nipigie?
Mnanuka damu hapo,bikra sio mchezo tena kwa koo lililokomaaNimeumia sana, Unbeaten yetu[emoji29][emoji29]
Hivi hakuna clause inayoruhusu kutimua mchezaj anapoonesha uhasi na usaliti Mkubwa kama wa Lovren na Hendo.
Msahau
- Last season tulimharibia Man City unbeaten Yake lakini akaishia Kubeba Ubingwa..
- This season Man City ametuharibia Unbeaten yetu je tutaweza na sisi kubeba ubingwa?
Mbona unalipitisha haraka kwa tamaduni zetu msiba ni siku 40 ila kwa sasa tumepunguza mpaka Siku 3Hili limeshapita! Ila baada ya michezo yetu hii 5 basi tutaongoza ligi kwa Points 10 na ninajiamini kwa hili.
January
√ 12 – Brighton and Hove Albion (A)
√ 19 – Crystal Palace (H)
√ 30 – Leicester City (H)
February
√ 4 – West Ham United (A)
√ 9 – Bournemouth (H)
Ni kwa sababu madhala mengi hutokea kwake hapu tuna jumlisha na tunazo koswa pia.Hivi timu pinzani zinafikaje golini kwenu alafu lawama ni kwa mtu mmoja?
Niko kibaruani, nishazodolewa vya kutosha yameshaisha. Wa man u, arsenal, Chelsea na wengine kibao mpaka wa yanga wameungana wote. Wa yanga wanadai timu yao ndo Kali kuliko zote duniani maana haijafungwa
Na ni kweliNiko kibaruani, nishazodolewa vya kutosha yameshaisha. Wa man u, arsenal, Chelsea na wengine kibao mpaka wa yanga wameungana wote. Wa yanga wanadai timu yao ndo Kali kuliko zote duniani maana haijafungwa
Watu wametoka mkuku hatari[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji349] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
Sent using Jamii Forums mobile app