Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbona mnazozana wenyewe. Poleni wakuu ndiyo mpira

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwasababu niliandika comment ya kutilia mashaka kuwa hatuwezi shinda ndiyo kanambia sijui mpira

Kwahiyo yeye aliyeamini kuwa lazima tunashinda kwakuwa eti anaaamini Klopp ni kocha bora kuliko Guardiola ndiyo kaniambia sijui kitu.

Sasa nadhani matokeo ndiyo hakimu ya kuwa nani anajua mpira na nani hajui kati aliyetilia mashaka kuwa game hatushindi na yule aliyejiaminisha kuwa ana bonge la timu la kumfunga Man City
 
Hivi kumbe akina Shaqiri huwa wanafungwa! Yaani mi mawazo yangu yooooote Shaqiri akicheza Liverpool hawawezi kufungwa
 
Inasikitisha sana kuona mkipiga kelele hapa wakati mnaemsema ndio bingwa wenu na pamoja na kupoteza mechi hii bado ndio mbabe wenu. Kufungwa haikuwa kitu mbacho hatukikitegemea sisi kama mashabiki bali obsession yenu nyie wapiga ramli na ubovu wa team zenu kufungwa kila siku ndio kumefanya kufungwa kwetu na team bora kuwatoe kwenye mahandaki yenu na kuja kufurahia hapa.


Loosing one or two aint bad especially when you are beaten by a good team like Man City, we lost three points for the first time this season to a good team, a team that is in contention for the title. I told you last week that anything can happen so we must never get carried away, now we take it to the next one.

Roll On Next GW

Hold Your Heads Up High and You'll Never Walk Alone
 
i was okay wt that midfield as i thought he will cool th game n wait to counter n not run after City kumbe Pep had a good idea on how to open us big on this one cz we av played to what they trained...

We have a long way to go guys to know our priorities....
 
Kudos kwa sterling kawatesa sana unspoken hero alikuwa anawakusanya vvd na beki zake makundi makundi anapita katikati yao Robo kupanda kwake atasimulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…