Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kweli tunamidfielders bora duniani za kuweza kucheza Pangapangua kwenye kikosi cha Barcelona wala sipingi tena kuanzia leo.

Natangaza rasmi kujitoa kwenye mjadala wowote unaohusiana na Midfielders wetu hata apangwe Mwinyi kazi moto nitaridhia tu.

Na nimeridhia kuwa GINI-HENDO-MILNER kuanzia leo iwe Midfield yetu ya kudumu mpakaa watakapostaafu wenyewe kucheza mpira.

OVA
 
Liverpool HALISI hapa ambao tunakuwa behind na team kwa kila hali tuwe watulivu!
Tunarudi Melwood kujipanga zaidi na mechi zijazo
Klopp katupa sana heshima mwaka huu mambo mazuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
YNWA On to the next one..

Still on top of the table, lost to a good team in need results after three losses in four games.

On to the next one Reds.
 
Hahahahahah "YOU WILL NEVER WIN AGAIN" sorry mkuu "YOU WILL NEVER WALK ALONE" hahahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…