Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uyo dogo sijawai kumuamin apa naomba klopp mawazo yake yawe kama yangu RB acheze milner. ila klopp akikariri kuwa dogo alimuweza sane UEFA basi atajutia kukariri kwake coz siamin sane hajajifunza kitu tangu ile mechi

Dogo ana Defending mbovu balaa kibaya zaidi hata contribution yake kwenda kwa wamaliziaji nayo majanga
 
if there is talent uscoucer unakuaga sio ishu kivile nowdays bt then akitokea kwenye academy na ni scourcer esp kipindi hiki many graduates dont make th grades basi anakua na kaupedeleo fulani na kupabwa na magazeti bt kwenye ishu ya TAA kila mwenye kumfuatilia anaona ndogo msimu huu ameshuka kiwango sana hata krosi zake nyingi zinakua hovyo kabisa...asipojiangalia ataishia kama Red Cafu

kama talent ipo kazi ni popote as u can see Lallana is die hard Everton fan yet anavaa uzi wa majogoo, De Brune is also Kop, Aguero is also a Kop, hata Kocho wa Manure is also a Kop etc..

our captain is a die hard Sunderland fan hivyo kazi ni popote huu uscoucer hautuletea vikombe...

Aisee TAA hana ubaya huo mnaoungelea nyie! Huyu dogo kapiga mpira mzuri sana hata season hii, Mpaka amekuwa nominated kwny tuzo kubwa za Copa under 20 na Mbappe sio mchezo.

Upepo umekata kwake kidogo juzi baada ya majeruh napo hajaharibu sana, Bado anafaa sana tena sana kuwa first Xi na sio sub.
 
Siku zote Beki bora tunamjua uwezo wake kwa kumpokonya mpira adui inapotakikana kufanya hivyo, sikumbuki kama jamaa alishine siku hiyo

Clyne ni beki mzuri, Anajua kupandisha mipira na cross zake ni productive.

Wachezaj wetu wengi wanaharibiwa na majeruh tu ila tukiwapa subira watarejea kwenye form, Salah naye alianza kwa kusuasa lakin sahv karud kwny peak.

Hata OX tunayemlilia arudi, nakuhakikishia hiyo February tutaanz kusema hafai, apigwe bench sababu tunatarajia instantly heavy performance kitu ambacho ni vigumu kutokea.

Bado Gomez naye akirud lazima atasuasua kutokana na injury aliyopata, uoga atakuwa nao kisaikolojia etc. Hivyo it takes times. Thus why nililkuwa nataman sana Klopp afanye usajil wa maana hasa kwenye beki, safar iliyopo mbele ni ngumu hatuhitaj kudrop points Epl wala kutolewa CL.
 
Aisee TAA hana ubaya huo mnaoungelea nyie! Huyu dogo kapiga mpira mzuri sana hata season hii, Mpaka amekuwa nominated kwny tuzo kubwa za Copa under 20 na Mbappe sio mchezo.

Upepo umekata kwake kidogo juzi baada ya majeruh napo hajaharibu sana, Bado anafaa sana tena sana kuwa first Xi na sio sub.
hio nomination si inahusu perfomance yake msimu uliopita? au huu.....kuhusu majeruhi ni kweli wengi hua wanachechemea mpaka kupata kasi upya...

lets hope he get back to his game as sooon maana we need all players at their best.
 
Yule dogo anatucost bana, anahitaji kunolewa zaidi. Mbona wenzetu kama City vichezaji vitoto (under 22) haviaminiwi si ndio tumuamini huyu dogo!

Ishu ya Uscouser ndio siasa za hovyo za kimpira zinazoididimiza LFC

City hawaamini vitoto lakini Wanamcheza Delph na Otamendi Mkuu.

Sasa timu isiyoamini Vototo lakini inamchezesha Delph itakuwa inamaana gani?
 
Siku zote Beki bora tunamjua uwezo wake kwa kumpokonya mpira adui inapotakikana kufanya hivyo, sikumbuki kama jamaa alishine siku hiyo

Shuleni tulifundiswa kuwa unapotoa CHANGAMOTO basi uwe na SULUHISHO la changamoto hiyo.

Mimi huwa ni ninamsemo wangu Titakapopata Kipa bora Zaidi basi hata Alisson tutataka aekwe benchi.

Tutakapopata Beki bora Zaidi basi hata VVD tutataka aekwe Benchi.

Tutakapopata Mshambuliaji bora Zaidi basi hata Salah tutataka aekwe benchi.

Lakini tutakapo kosa Mshambuliaji hata SOLANKE tutataka acheze pangapangua.

Sasa na Liverpool kwasasa haina suluhisho la mbadala wa TAA.

Najua utasema ni Milner na Clyne!
Lakini kwanza Clyne si mbadala wa TAA kwa sasa! Na Milner tunamuhitaji Zaidi kwenye Role ya Midfield kuliko RB kwa Baadhi ya Mechi ikiwemo game kama ya Leo Kumkosoa Milner kwenye Midfield ni Suicidal.

Na TAA si mbovu kiasi hicho munachomsema! Na kizuri Zaidi Msimu huu TAA kwenye EPL hajafanya error leading to goal hata moja. Sasa sijui ubovu huo wa kupindukia umetokea wapi.

Mimi sio kwamba nakupinga Mkuu! Ninajua wazi kuwa msimu huu TAA katika kulinda hayupo vizuri na anatupa wakati mgumu!

Lakini ana advantage Yake ya Kuwa ahead of Milner & Clyne! TAA kwenye offensive anadeliver vizuri tu kinyume na watu wanavyoongea! Anahitaji Credit kwa hili.

Kumbuka kuwa upande wa kushoto wa Robertson unatoa Mashambulizi mengi Zaidi kwasababu ya uwepo wa Mane, na vilevile Bobby anapenda sana kutokea upande huohuo wa kushoto hata kama atakuwa yupo kati.

Lakini upande wa kulia almost ni TAA na Salah tu jambo linalomfanya TAA anatumia pace kubwa kutoka chini mpaka kufika juu peke Yake ili amtafute Salah, tofauti na Robbo ambaye anapotoka na mpira chini basi Mane na Bobby wanamhelp mpaka kufika juu kueka Cross.

• Kwahiyo Mkuu ni kwamba TAA msimu huu hayupo vizuri kwenye Kukaba, Lakini si Ubovu wa kupindukia wa Kiasi hicho kama Munavyomuongelea.

• Halafu katika Magoli 7 tuliyoconcede kwenye EPL hakuna goli hata moja ambalo tumefungwa kwa direct mistake ya TAA.

• Na Mwisho ni kuwa kwasasa kwenye Kikosi chetu TAA ni lazima kucheza coz hatuna mbadala wake wa kusema tumreplace.
 
heading into tonite's head to head fixture, below is a LFC & Man City combined first 11 (according to an online BBC Sport poll).

apparently, football followers across the globe have given a verdict that we're slightly edging Man City in terms of player-for-player quality. is it a fair assessment or it overlooks the coaching and tactics aspect?

20190103_080918.jpg
 
Mauzauza tu yule dogo

Sasa Mkuu sisi tunapokosoa Mchezaji huwa tunatoa mapendekezo kikosini mwetu kuwa ni bora Kocha ampange Mchezaji fulani kama mbadala wake.

Sasa na wewe sisi Kops wenzio tupe pendekezo unahisi ni nani katika Kikosi chetu anafaa kucheza RB ahead of TAA.
 
Sasa Mkuu sisi tunapokosoa Mchezaji huwa tunatoa mapendekezo kikosini mwetu kuwa ni bora Kocha ampange Mchezaji fulani kama mbadala wake.

Sasa na wewe sisi Kops wenzio tupe pendekezo unahisi ni nani katika Kikosi chetu anafaa kucheza RB ahead of TAA.

Milly
 
heading into tonite's head to head fixture, below is a LFC & Man City combined first 11 (according to an online BBC Sport poll).

apparently, football followers across the globe have given a verdict that we're slightly edging Man City in terms of player-for-player quality. is it a fair assessment or it overlooks the coaching and tactics aspect?

View attachment 984470

√ Alison is Ok to be ahead of Ederson
√ VVD na Laporte no Comment
√ Walker sikuhizi kwenye defence is shit, Kwahiyo TAA deserved to be ahead of Walker.
√ Iwapo Mendy yupo fit free from injury basi ninamueka ahead of Robertson! Lakini kwasasa Mendy ni injury basi Robertson anadeserve kuwemo kikosini.
√ KDB, Fernandinho and Silver hao hapana mjadala wa kuwepo kwao ukilinganisha na Midfielders wetu.
Wanastahiki kuepo hapo kwa 100%.
√ Aguero is Ok to be ahead of Firmino
√ Salah no discussion
√ But I doubt Mane to be ahead of Sterling
 

Milly sio mbadala wa TAA iwapo tutataka kushinda game.
Milly ni mbadala iwapo tunatafuta draw
Na kumbuka kuwa Liverpool si timu ya Kutafuta draw Bali ni ushindi.
Mechi kama ya Leo Kocha anaweza kwenda na game plan ya kusaka draw kwahiyo anaweza kumpanga Milly.

Lakini tunapotaka ushindi basi tunahitaji RB ambaye anapace ya kama TAA au Gomez.

Lakini Milner umri umekuwa ni obstacle amekosa Pace kama TAA.

Na sisi mashambulizi yetu yote yanaanzia pembeni.
Sasa mtu kama Milner ambaye hana pace ya kufanya mashambulizi kwa kasi kutokea pembeni atakuja kumfanya Salah ainekane kama Solanke.
Without RB mwrnye kasi ya Mashambulizi Salah is nothing unless achezeshwe Striker na sio Winger.
 
Line Up yangu ya Leo:

MANE-BOBBY-SALAH

MILNER - FABI - GINI

ROBO-VVD-LOV-TAA

ALISSON
Iwapo Milner hatakuwa fiti enough kucheza basi namueka Hendo acheze kama Namba 8.

Na mapendekezo ya Game plan yangu ni kwenda na Mentality ya Kutafuta Draw huku nikiipanga timu kwa Kaunta ambayo nitakuwa na mkakati kwa FABINHO na SALAH kwenye Kaunta.

Fabinho nitampa kazi ya kuanzisha Mashambulizi ya Kaunta Kwa Kupiga mipira mirefu kwa Salah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom