loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
mkuu shauri yako hapo ulipo muunganisha hendo kwenye group la kwanza patakucostHalafu unatokea Msukule From Nowhere unadai eti Unai anamsumbua Klopp [emoji23] [emoji23] π
Kwa Liverpool hile ya Kolo Toure, Sakho, Lovren, Moreno, Mignolet, Henderson na Original asimsumbue afanyeje ππ
Na Aje amsumbue na hii ya Alisson, Robbo, Fabi, Gini, Salah, Bobby, Mane na Xhaqiri ππ
labda apumzishwe ili tufungweApumzishwe ili ucheze wewe mkuu? Ile ni kazi yake na anatakiwa acheze daily
Niamimi utapigwa tu tena si chini ya mech 3 tunza hii post.
Hili ni bonge la goli limedhihirisha arsenal wapo vibaya nyuma.
Liverpool naweza kumaliza ligi bila kufungwa, ni ile culture ya kuwa carried away kwa sababu ya ushabiki.
Ingawa on squad comparisons kabla kila timu haijafanya usajili January ni City peke yake mwenye kikoki na benchi bora kuliko Liver, ila utashangaa tunapigwa na timu za ajabu
Huyu ni engine yetu ya defense hawez pumzishwa overall ni moja ya madefender wanacheza kwa akili sana na consistency ya badaa cha muhimu ni kupata machine nyingine km hii January tukimpata kalibaly tumefunga kaz tutakuwa hatukamatiki uerope nzimaGuys KLOPP anapaswa kumpumzisha VVD wakati mwingine maana daaaah jamaa kacheza mechi zote 20 za EPL.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bila refa arsenal wapo vibaya sana japo refa alikuwa na matatizo yake lakini kumfunga liverpool hii arsenal ni ngumu sana walikuwa lazima wafe angalia mchezaj mmoja mmoja wa liverpool kisha na arsenal ukiangalia upande wa bek tu mechi imeisha wao arsenal wanachukua mabek ya bure wenzao wanatoa pesaArsenal kawapa maujiko, hongereni.
Hongera pia kwake refa, maana kafanya kazi ya ziada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boby amemfanya toreira aonekane famba aisee yaani kaonea sana midfield ya arsenal what a performance kutoka kwa our Brazilian strickerHili goli la pili lilitaka kunivunja mbavu kwa kicheko [emoji23]View attachment 980747
Toteira anataambaa kama nyoka [emoji23][emoji23][emoji23]bobi sio mtu mzurr aisee
Ni kweli mkuu lakini arsenal sio timu ya kupigwa goli tano tena za kizembe kama za Firmino. Pia unai nae kachangia timu kupigwa, maana lacazete una muacha nje Ozil ..Mkuu bila refa arsenal wapo vibaya sana japo refa alikuwa na matatizo yake lakini kumfunga liverpool hii arsenal ni ngumu sana walikuwa lazima wafe angalia mchezaj mmoja mmoja wa liverpool kisha na arsenal ukiangalia upande wa bek tu mechi imeisha wao arsenal wanachukua mabek ya bure wenzao wanatoa pesa
Mane,filmino na salah
Wao
Aubameyang huyu big game zote ni flop
Iwob hata goli 5 za ligi hana
Sijui na nini tena unashindaje?
From nowhere tu anajitokeza mpiga ramli mmoja kujaribu kuilinganisha Liverpool na gar lao la mkaa sasa matokeo yake ndo hayo ile dhambi ya kutukosea wana Liverpool kujaribu kuilinganisha Liverpool na vitu vya ajabu ajabu imemtafuna mapema tuHalafu unatokea Msukule From Nowhere unadai eti Unai anamsumbua Klopp [emoji23] [emoji23] π
Kwa Liverpool hile ya Kolo Toure, Sakho, Lovren, Moreno, Mignolet, Henderson na Original asimsumbue afanyeje ππ
Na Aje amsumbue na hii ya Alisson, Robbo, Fabi, Gini, Salah, Bobby, Mane na Xhaqiri ππ
Ozil ni kama mpo pungufu tu labda huyo lacazatte pia naona ni mapema sana kumlaum unai maana huu ndo msimu wake wa kwanza sina shida na kocha kwa upande wangu yapite madirisha ya usajili angalau mawili tuanze kumlaumu huyo klopp msimu wa nne huu anautafuta na huu ndo msimu ambao kaipata timu sahihi hivyo tuwape muda ,,,,, arsenal bado dhaifu sana upande wa beki 2 na 3-- 4 na 5 ushambuliz wapo vizur wapate na kiungo mmoja wa kusaidiana na torreira kuna yule dogo nilikuwa namuonya sana mbeba picha za torreira timu yake bado asiangalie ule upepo wa unbeaten vs cardif akikutana wa watu ambao wanazihitaji point 3 zao watapata matatizo kalikuwa kabishi yako wapi?Ni kweli mkuu lakini arsenal sio timu ya kupigwa goli tano tena za kizembe kama za Firmino. Pia unai nae kachangia timu kupigwa, maana lacazete una muacha nje Ozil ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakosea unai ni mwaka wa kwanza huu klopp msimu wa 4 anautafuta bado na yeye unai anaendelea kutafuta watu wake sahihi kwa kazi aliyofanya kocha wa arsenal anastahili pongez.Halafu unatokea Msukule From Nowhere unadai eti Unai anamsumbua Klopp [emoji23] [emoji23] π
Kwa Liverpool hile ya Kolo Toure, Sakho, Lovren, Moreno, Mignolet, Henderson na Original asimsumbue afanyeje ππ
Na Aje amsumbue na hii ya Alisson, Robbo, Fabi, Gini, Salah, Bobby, Mane na Xhaqiri ππ
Five o'clock. Umeona Torreira alivyodondoka chenga ya Firmino!kwani mechi ya kwanza hujaiona mkuu?nenda youtube alafu angalia man of the match alikuwa nani,mpira tulitawala kwa zaidi ya asilimia 60 na nyinyi mlikuwa na 30s sasa hapo utasema wewe una kiungo cha kubattle na kiungo cha ARSENAL?wakati fabinho alikuwa anarambishwa nyasi na kina gue na torreira hahahahahahahahahah