D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
labda mumsajili andrey arshavin muda huu.tunapindua matokeo
labda mumsajili andrey arshavin muda huu.tunapindua matokeo
Anawaibia vipofu sasa ilitakiwa ayafanye kwa chelsea au cityNi Ramos aliyemfundisha hivi Coz siku ya Final ya CL alimvuta mkono mpaka akataka kuukata hakujiangusha! Kina Suarez wakamwambia Kwampira huo unaocheza wa Kutokuanguka Wahuni watakuvunja!
Sasa amejifunza kitu hasubiri akauliwa uwanjani.
Ukimgusa tu yupo chini.
Kwahiyo hongera Ramos kwa kutufundishia mchezaji wetu 😀
Watabadilika wakirudi walikua wanategemea kama mechi ya mwanzo cha pili watakua makini ha ha haa
Aoron mcheki kama kazimia bana...ni mpira arelax tena anafungwo na wanaojua hivyo haiumi sana...hakuna wakujificha mimi sio plastic fan tupo hapa mpaka game iishe
Sijui kamkosea nini Firmino, maana analambishwa nyasi kila akikutana nayeTorreira anatambaa na kugalagala tu
tunapindua matokeo
Usiwakatishe Tamaa Bana.labda mumsajili andrey arshavin muda huu.
ndio leo,umeshasahau kama baptista na arshavin waliwapiga 4 ?utakuwa mbishi naturally wewe
Tangu lini Liverpool akakubali kufungwa goli zaidi ya tatu Anfield na tena chini ya kocha huyu
Mi Naendelea Kukubari.hii game napindua meza kibabe kama simba ilivyowafanya nkana
hii game napindua meza kibabe kama simba ilivyowafanya nkana
Watu Mna Maneno.Labda upindue kiti ulichokalia
Na Salaa la SitaMane katukosesha la 5 dah!
na timu ya kufanya hivyo usijidanganye kabisa
mkuu ushindi huu kiupande wetu una faida kubwa sana.Anawaibia vipofu sasa ilitakiwa ayafanye kwa chelsea au city