BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Kocha au refa?Refaa Malizaa Mpira Basii
Ha ha unamuhutaji Wenger tena hatar sana hili ndilo jogoo ninalolijua mm linapanda tudaebak, nilikuwa na mpango wa kuangalia kipindi cha pili ila kwa hali hii bora niendelee na shughuli yangu.
turudishieni wenger wetu
dah hii hatari, munapiga kama janjaweed.sasa nimepumua.
Salah akiwa anapewa mipira kwenye channels... hata 7 leo tutafunga kwa defence hii ya Arsenal.
Alikuwa Refa Nashangaa Imeenda Kwa Kocha.Itakuwa hiyo simu ulikuwa unampigia refa, au ni kweli kocha ndo aumalize?
Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
we are gunning em down...20:30
Refaa MzeeKocha au refa?
Hadi sasa umetisha mzee.
Mkuu Dully hivi hii laivu au recorded maana naona utabiri wako umekugeuka so far...😎😎😎kuwepo kwa majeruhi katika timu kumepunguza tu idadi ya magoli mliyotakiwa kupigwa leo ila kichapo kipo palepale ushindi wenu ni sare tu
hakuna wakujipiga ban hapa game ni 90min so waitWashajipiga Ban zamani
Bado mawili yafike 5...
uh leo tutawaona wengi waliopo machokoroni huko
Ha ha haa amina unanifurahisha sanaYaaani Leo Manee Kawe Motoo.