Kesho kama kawaida tunapitia upande wa trent
Kola na auba au kola na iwobi watamgawana trent. Ili mmoja apite na kupiga V PASS kwaajir ya kumaliza shughuli
Mazoez yanayoendelea sasa hiv ni hayo , laca atakuwepo kusumbua bek zenu
Katikat atakuwepo muhun xhaka na toreira
Nadhan kesho tutawapoteza tena kwenye midfield
Njia yenu ya ushind ni moja tu, mpitie no 2 ndio kwenye shida kwa upande wa arsenal ,na huo upande anacheza mane
Iwapo mtashindwa huko
Naahid 3-0 mtapigwa hapo hapo Anfiled
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Form ya Klopp na Vijana wake mara nyingi imekuwa nzur sana From February to April na kwa sasa Tunachokiona Kikubwa ni level of fitness ya wachezaj wetu dhidi ya wapinzan haswa katika kipindi hiki cha michezo ming kazi nzur ya Kiongoz mkuu wa Utimamu wa Mwili Andreas Kornmayer,meneja wa Uwezo wa kimichezo na matibabu mwili Philipp Jacobsen,Kiongoz wa Rutuba mwili ya vyakula Mona Nemmer,Daktar wa team Andy Massey,Kiongoz mkuu fizikia Lee Nobes wamefanya kazi nzur na mujarabu sana mpaka sasa na hata zile injury zimekuwa chache na ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yako ,mchezeshe huyo bakayoko part 2 namba 6
But kesho kiungo lazima tutawale ,na lazima tupitie kwa trent
Hata klopp anajua kuwa tunapitiaga wapi,
Yule dogo tunamgawa na watu wawili, View attachment 979657
Sent using Jamii Forums mobile app
Unai alipiga piga mateke mavyupa ya maji !Draw ya Brighton imewaacha midomo wazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wewe huwa ni mshabiki oya oya ....
Huyo milner ni mzee huwez kumchezesha namba 2 kwa counter na pace za arsenal
Kwanza kesho hayupo
Inaonesha hata liver huifatilii, umeibuka kipind hiki ikiwa inashinda ,ndio mnatuletea tabu humu
Kesho piga ua tunapitia kwa dogo trent
Piga ua lazima kiungo tuwashike kisawasawa
Matokeo natoa 50/50
Iwapo mtashindwa kutumia vzr pengo.la namba 2 arsenal ,bas nawakunyuga 3+View attachment 979679
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hapo mimi na wewe nani kituko?unauliza mara ya mwisho Gunners kukupiga Anfield wakati nilikupiga kipigo cha pakashume hapohapo bwawani kwenu 2007...................๐ ๐
Najua unajikakamua ili tusije sema kuwa umejipiga Ban kama Rant boys Wa Chelshit tu .... ๐
Lakini ukweli Ni kwamba moyoni umejaa Hofu.. ๐
Tusalimie yule kituko mwenzio DullyJr ๐
Hivi Mara ya Mwisho Arsenal kumfunga Liverpool Anfield ulikuwa Mwaka gani ? ๐
Ukijibu namtag Ollachuga Oc ๐
nguza ngenga dakika 90 zitaongea katika matimu ambayo siyaogopagi ni liverpool yaani bora nikutane na Fulham kidogo nitakuwa na wasiwasi....mtu mmepigiwa mpira mwingi sanaaaaaaaaaaaaa ila bado tu hamuukubali muziki wetu......tumechezea mpira kwa zaidi ya asilimia 60 huku nyinyi mkiwa na 30's bado tu hukubali kuwa mziki wa london huuweziKwani Katika Mechi ya Mwanzo hapo Emirates beki 2 si alikuwa huyohuyo TAA na Winger alikuwa Aubamyang sasa Mulifunga goli ngapi kupitia upande wake?
Mbona Ni wepesi Wa kusahau nyinyi?
Yeye si ndiye aliyemkaba Auba mpaka Mpira ukamshinda akatolewa bila ya goli la Hata offside?
04 Apr 2015 Arsenal v LiverpoolL4-1Premier LeagueKwanza kwa misimu 3 iliyopita Arsenal tulishazoea kumgonga NNE NNE tu, kwahiyo kesho tunarejea kawaida yetu ya Kumgegeda Vinne.
04 Apr 2015 Arsenal v LiverpoolL4-1Premier League
24 Aug 2015 Arsenal v LiverpoolD0-0Premier League
13 Jan 2016 Liverpool v ArsenalD3-3Premier League
14 Aug 2016 Arsenal v LiverpoolW3-4Premier League
04 Mar 2017 Liverpool v ArsenalW3-1Premier League
27 Aug 2017 Liverpool v ArsenalW4-0Premier League
22 Dec 2017 Arsenal v LiverpoolD3-3Premier League
03 Nov 2018 Arsenal v LiverpoolD1-1Premier League
hii inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
hakuna sare kesho lazima nikubikiriKwa hizi stats tu, unajua kitakachokupata!
pu
nguza ngenga dakika 90 zitaongea katika matimu ambayo siyaogopagi ni liverpool yaani bora nikutane na Fulham kidogo nitakuwa na wasiwasi....mtu mmepigiwa mpira mwingi sanaaaaaaaaaaaaa ila bado tu hamuukubali muziki wetu......tumechezea mpira kwa zaidi ya asilimia 60 huku nyinyi mkiwa na 30's bado tu hukubali kuwa mziki wa london huuwezi
nakaza ubongo eti eeeeeeh......sawa tuombe MUNGU atujaalie uzima na afya tutaona nani atakayetamba humu jukwaani na nani atakayejipiga banMpira ni Magoli na Points 3 tu! Hizo chenga na asilimia ni mbwembwe tu kama za Sarriball kuliwa akiwa na asilimia 70+ ya kuupiga mwingi.
Subiri kesho nikunyooshe.
04 Apr 2015 Arsenal v LiverpoolL4-1Premier League
24 Aug 2015 Arsenal v LiverpoolD0-0Premier League
13 Jan 2016 Liverpool v ArsenalD3-3Premier League
14 Aug 2016 Arsenal v LiverpoolW3-4Premier League
04 Mar 2017 Liverpool v ArsenalW3-1Premier League
27 Aug 2017 Liverpool v ArsenalW4-0Premier League
22 Dec 2017 Arsenal v LiverpoolD3-3Premier League
03 Nov 2018 Arsenal v LiverpoolD1-1Premier League
hii inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
yamekuwa hayo tena ,kwahiyo Magu ndio anayefanya sisi tusikufumue hapo anfield??????acha kumsingizia Mr prezdaaaaaaah bas๐ ๐ teh teh teh teh teh teh teh teh teh
Kumbe tokea Magu awe Prezo Arsenal haijawahi kumfunga Liverpool!!! ๐
Nategemea atatoka Madarakani 2025 bila ya kushuhudia Arsenal ikimfunga Liverpool ๐๐
viceversa29/12/2918
Liverpool 4 - 0 Arsenal
Je unabisha au?
Kwaiyo akae kimya wakati anaona kocha anafanya vitu vya kikumbavu kabisa.Moreno hakupaswa Kusema Maneno Haya!
Naona anataka kufuata Nyao za Sakho badala ya kuondoka LFC kama Legend.
"I disliked Klopp's decision because I was training but when I returned he only wanted Robertson.
"My relationship with Klopp hasn't changed but since this injury, I didn't have a meeting with him but our relationship is normal.
"I disliked the way that Klopp has treated me but I understand his situation that he can't change [Robertson] because the team is winning."