Good Man
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 932
- 1,173
Kujisalimisha muhimu mkuu! Kudos kwa kuona hata hilo! #YNWAKlop ameitengeneza vizuri mno hii team ya wahuni
Kujisalimisha muhimu mkuu! Kudos kwa kuona hata hilo! #YNWAKlop ameitengeneza vizuri mno hii team ya wahuni
Klop ameitengeneza vizuri mno hii team ya wahuni
Na tunanyakua ubingwa na uefa hataweza aminihaiyaaa na kule alipo mambo hayamwedei poa sana uwanjani....
we dont miss him kwa kweli...tupo vizuri pengo halionekani
huu ni msimu wetu kuchukua angalau mawili moja yapo lazima iwe EPL....Na tunanyakua ubingwa na uefa hataweza amini
mtasema yote safari hii.
Klop noma jamani na mkivuka kigingi cha Bayern UEFA yenu
Klop ameitengeneza vizuri mno hii team ya wahuni
Naona mutabadilisha kila kauli Msimu huu.
Ila mwishowake mutasema tumebahatika.
Nipo kwenye mpango mkakati wa kuhamia kwenu
Karibu ndugu...it's coming HOME at Anfield where it belonged!
Wewe ndiyo unatakiwa utulipe sisi ndugu...
ukiona mpinzani wetu anatukumbali hivi ujue tupo vzuri....
tunashaukuru sana, tutapambana mpaka mwisho EPL itue Anfield
Nasema ivyo kwa sababu hakuna mpinzani wa maana anayeweza kuwapa changamoto except Tot naye hana ubavu. Sasa hapo kazi ni kwenu mkishindwa hamtakuja kuweza tena. Man city mnaona anachofanya, Chelsea ndio tunajikongoja, huyo Arsenal sitaki kuongea. Labda Tot ila naye sina imani naye.
Surprise alizokutana nazo Man City kwa game za Chelsea, C Palace na Leicester hakuna aliyetegemea aisee, in a span of almost 3 weeks kapoteza 9 points.
Sijui recovery yake itakavyokuwa, lakini ni big hit kwake.

...na Southampton wanamsubiri, akienda hovyo wanamjeruhi hata kwa droo tu. Maana atakuwa anaiwazia game yetu zaidi.
Ni sawa na binti aliyetoka kubikiriwa. Huwa wanakua unstoppable. Wanagawagawa tu. Refer Man City and Chelsea.
Cant wait for Liverpool too![]()
There are exceptions to general rule, siyo kila mmoja atafata mtiririko huo.
Liverpool hatafata hilo.