Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

It was a great win, sijafanikiwa kuona 1st half ila second half nimeiona yote Henderson played really well. Hiyo position ndo nilimuwa naililia acheze siyo kuchezeshwa kama defensive midfielder .

Allison is more than just a goalie, he defended like a center back then he save it like a goalie kupata clean sheet

Fabinho in the midfield is like a jukebox

Klopp kafanya substitution za maana, sikutegemea kama kwenye hii mechi klopp angeanza na fab3 kwa line up it claerly indicate he is really up to something

Andy Robertson, he's unsung hero. He's only at LFC with good performance week in and week out. Kuna ile mechi Gomez ali-clear mpira kwenye line siku hiyo Van Djik was not good.

Van Djik ni Terry,Rio na Vidic kwa pamoja kwa maneno ya Jamie Redknapp ila naongeza na Lucio kwa jinsi anavyopanda na mpira mbele


I can smell IT, not far away

The smell is all over chief...
 
Hata wasiojua kuhusu fani yako akikushauri wewe sikiliza na ukaupime unaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine.


JICHO PEVU LA JURGEN KLOPP;

Ahsante klopp kwa sikio lako juu ya kelele za sisi mashabiki wa Timu yetu na kufanyia kazi.Sasa naelewa kwa nini hukumtaka mwingine isipokua VVD, Roma waliposumbua kuhusu Allison haukutafuta plan B ila ulipambana sana mpaka ukampata, uvumilivu wako kwa Keita nimeuelewa ila japo hajaingia kwenye mipangilio yako kwa 100%, Uliamua kwa Faby tu na sio wengine.

That boy so called A.Robertson umegeuza mfuko wa nailoni kua mshuma vijana wawili wa kiingereza TAA & GOMEZ umewageuza hitaji muhimu kwenye kikosi chako cha kazi.

Nakukumbusha tu mtazame Michael Edward na kutabasamu umwangaliapo,. ungeikuta FSG ya MICHAEL S. GORDON bila Sporting director, labda kazi yako ingekua ngumu kuliko ya Brendan.
M.Edward amekua chanya kwenye kupigania wachezaji uwatakao kwa bei poa sana na mkataba mzuri sana.

Nakupongeza kwa uwezo wako wa kudeal na Liverpool echo umeituliza dressing room very positively...

THANK YOU J.KLOPP & M.EDWARD.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Man City will be playing against a tricky Southampton, while thinking about our battle with them.
Yes a point is enough for us against City, a win is a bonus for the New Year 2019!

Agreed 100%

should be aiming for the win, but a draw will be enough too
 
Mwanzoni tulikuwa tunashinda kwa mazabemazabe huku tunacheza vibaya ila sasa hivi tunakupigia na tunacheza vizuri tunakuwa kwenye form nzuri zaidi na zaidi kwenye wakati kama huu

we are really lucky this time around, during this festive season huwa tuna injuries za kutosha ila msimu huu tupo vizuri saana no major injury hadi Lallana mzima wakati huu

Squad management has been great from Klopp tofauti misimu iliyopita ambapo muda kama huu utakuta tuna majeruhi wa kutosha tu
Nafikiri geggenpressing klopp ameiweka bench na imesaidia juu ya kua na injuries not only injuries even fatigue too... sababu hiki ndio kikwazo kwetu.

nakumbuka sir Alex aliwah kusema atataka kuona mwisho wa geggen ni wapi iyo power wataipataje for who season?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri geggenpressing klopp ameiweka bench na imesaidia juu ya kua na injuries not only injuries even fatigue too... sababu hiki ndio kikwazo kwetu.

nakumbuka sir Alex aliwah kusema atataka kuona mwisho wa geggen ni wapi iyo power wataipataje for who season?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
hii style inatakiwa airudi Jan 3 vs man city kwaajili ya Pep ndo style ya kumuua
 
This is Anfield & We are Liverpool.

Narudi maneno niliyoyasema mwanzon kabisa wa December kuwa tunaenda kufyeka viTeam vyote kuanzia Napoli mpaka Arsenal, si kwa sababu ya nn bali ni kwa sababu Liverpool ni team iliyokamilika kila idara.

Hakuna wa kufua dafu mbele yetu hata nje ya England.
 
IMG_4811.JPG
 
Mkuu unakwenda nje ya mada all and all tumeshida lakini watu wanapokosoa upangaji wa kikosi wa klop au sub zake ni muhimu kuzingalia nafkiri kama liver echos wameanza kumkubali faby hii yote ni nguvu ya mashabiki duniani

Mkuu nadhani tumuache Klopp afanye kazi yake,huwa nacheka sana watu toka kundi hili kuona wao wanajua soka manejimenti kuliko Klopp!!

Fab anacheza baada ya kuivishwa wala sio sababu ya mashabiki

Mkuu tuendelee kushikamana mambo mazuri sana yanakuja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom