mkuu ulijuaje?
If we will win it this season i will start using my real name in here

Salama mkuu hongereni kwa ushindi.Habari yako mkuu
Fabinho is the new Bakayoko, they said
Shekh Yahya siku usipokuja huku utanihuzunisha sana.Salama mkuu hongereni kwa ushindi.
Game v/s Arsenal nadhani ndiyo atakayiperform vizuri zaidi kama v/s Man U ili kuwaprove wrong wale doubters wote
hahahaha kama alivyoambiwa na jini lake.....hivi tumetokaje?au ni sare kama ulivyoambiwa na jini wako
AiseeeHawa at least tuwapate 4 kwa 0
KitulizeKama liver imeweza raund ya kwanza kwa nini wengine wasiweze raund ya pili? Na kila timu hupata angalau blip, liver hajatoka kwenda away kwa wakubwa wengi.
Mimi ni the gooner ila i can't stand liver winning this, it's better Mancity.
Too much cockiness!
Yo! Ed
naona mlevi wetu Bobby atakuwa aligusa Beer za kutosha ile X-mas eve na jana pia
he was all over the place today hahaha
Klopp must be fuming haha