Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Merry Christmas
 
Attachments

  • A11866.jpg
    A11866.jpg
    89.8 KB · Views: 31
Kwa TAA nadhani Clyne anaweza sana kuimanage hiyo nafasi, na kwa kiwango alichoonesha game ya Man Utd si ajabu watakuwa wana alternate, wakati huo huo game ambazo kocha atataka kumchezesha Lovren utakuta Gomez anakuja RB.

Changamoto naiona kwa Robbo na VVD, hasa VVD, natemea Gomez kuweza kupartner na Matip/Lovren baadhi ya game za FA tuone combo yao iko vipi.
Msaidizi wa Robbo in anycase atakua Milner maana msimu ulee alicheza hio nafasi hakufanya kosa lililosababisha tukafungwo hivyo Klopp naamini hatofanya kosa kumchezesha useless Moreno just in case Robbo hayupo poa...
 
kwa mtazamo wangu kuna umuhimu wa kupata defender 1 pia striker 1 ili incase m1wapo wa ule utatu mtakatifu anapokosekana basi tuwe na mbadala sahihi
Defenda sawa ila kwa straika ee sidhani Klopp atanunua labda auze kwanza au atoe kwa mkopo...tunao Daniel, Solanke, Origi....
Daniel na Origi kwa nafasi finyu walizopata wamecheza vizuri sana hivyo kama back up wanatufaa...
Solanke labda ndio aede kwa mkopo maana kwa kiwango cha hawa jamaa wengine yeye ni ngumu kucheza kwa sasa.
 
Msaidizi wa Robbo in anycase atakua Milner maana msimu ulee alicheza hio nafasi hakufanya kosa lililosababisha tukafungwo hivyo Klopp naamini hatofanya kosa kumchezesha useless Moreno just in case Robbo hayupo poa...

Sasa ndiyo tunatakiwa kusajili jembe dizaini ya Milner ambalo litarithi mikoba maana jamaa tayari ni jioni kwake, misimu miwili ijayo atakuwa anastaafu, probably!
 
Defenda sawa ila kwa straika ee sidhani Klopp atanunua labda auze kwanza au atoe kwa mkopo...tunao Daniel, Solanke, Origi....
Daniel na Origi kwa nafasi finyu walizopata wamecheza vizuri sana hivyo kama back up wanatufaa...
Solanke labda ndio aede kwa mkopo maana kwa kiwango cha hawa jamaa wengine yeye ni ngumu kucheza kwa sasa.
okay nimekuelewa sana mkuu ingawa performance ya hao uliowataja huwa sio consistence
 
Defenda sawa ila kwa straika ee sidhani Klopp atanunua labda auze kwanza au atoe kwa mkopo...tunao Daniel, Solanke, Origi....
Daniel na Origi kwa nafasi finyu walizopata wamecheza vizuri sana hivyo kama back up wanatufaa...
Solanke labda ndio aede kwa mkopo maana kwa kiwango cha hawa jamaa wengine yeye ni ngumu kucheza kwa sasa.

Mkuu kwa Mara ya Kwanza leo tunatofautiana Kimawazo!

Mimi Kabisa Siwahesabu Kina ORIGI, STURRIDGE na SOLANKE kuwa Ni Backup Strikers kwa Timu kama Liverpool.

Hawa Ni Wachezezaji Wasiotabirika! Wanaweza Wakakupa Matokeo Kwenye Game usiyoitarajia Kama alivyotupa Sturridge dhidi ya Chelsea, au alivyotupa Origi dhidi ya Everton.

Lakini hatimae Ukawachezesha Michezo 10 mbele na wasifanye Kitu.

Kwa Kawaida Wachezaji hawa Ni FOUR GAMES PLAYERS.

Mchezaji halisi Backup kwa timu yenye Ambition kama Liverpool anatakiwa awe kama Xhaqiri, Ukimwingiza match yoyote anakupa matokeo from nowhere.

Mkuu sasahivi Liverpool hatutakiwi turudi Nyuma, Wala Tubaki tulipo! Bali Tunatakiwa Tusonge Mbele.

Sasa ukisema tubaki na Backup kina Sturridge, Origi na Solanke manake Tubakie tulipo palepale alipotuacha Rodgers.

Mkuu sasa Ni wakati Wa kupiga Hatua Mbele kwa Kuleta Backup Player ambao hawana tofauti na Wanaocheza First XI.

Na ndiyomana tunamtaka Klopp amshawishi Werner ambaye anamaliza Mkataba Next Summer asaini Pre-contract hapo January ili tuimarishe timu kwa Kutoka Hapa tulipo.

Kama Msimu huu tumefikisha Points 48 kwenye Christmas, basi Msimu ujao tufikishe Points 52 muda kama huu.
 
Liver mnafurahia sasa hivi mkihisi mtabeba EPL

Laiti ukweli mngeujua ,mngejipiga bani

Ukweli ni huu hata mshinde games zote zilizobakia ,EPL hamtapewa, kuna muhuni atajitokeza atakuwa sawa na nyie na mtazidiwa magoli

Ukweli mchungu ni huu bikira mtatolewa ,siku si nyingi , baada ya hapo mtapoteza dira

Mwisho wa msimu mtatoka kapa

Epl mtaishia top4

Uefa mtatolewa

HUU NDIO UKWELI MCHUNGU ambao wana liver hawapend kuusikia ,

MJUMBE HAUWAWI
 
mbona povu jingi ndio kwanza Xmass ikifika hadi Pasaka tunaongoza ligi wee si utajinyonga aise kuichukia liverpool hii utaishia kuumia tuu
 
Mkuu kwa Mara ya Kwanza leo tunatofautiana Kimawazo!

Mimi Kabisa Siwahesabu Kina ORIGI, STURRIDGE na SOLANKE kuwa Ni Backup Strikers kwa Timu kama Liverpool.

Hawa Ni Wachezezaji Wasiotabirika! Wanaweza Wakakupa Matokeo Kwenye Game usiyoitarajia Kama alivyotupa Sturridge dhidi ya Chelsea, au alivyotupa Origi dhidi ya Everton.

Lakini hatimae Ukawachezesha Michezo 10 mbele na wasifanye Kitu.

Kwa Kawaida Wachezaji hawa Ni FOUR GAMES PLAYERS.

Mchezaji halisi Backup kwa timu yenye Ambition kama Liverpool anatakiwa awe kama Xhaqiri, Ukimwingiza match yoyote anakupa matokeo from nowhere.

Mkuu sasahivi Liverpool hatutakiwi turudi Nyuma, Wala Tubaki tulipo! Bali Tunatakiwa Tusonge Mbele.

Sasa ukisema tubaki na Backup kina Sturridge, Origi na Solanke manake Tubakie tulipo palepale alipotuacha Rodgers.

Mkuu sasa Ni wakati Wa kupiga Hatua Mbele kwa Kuleta Backup Player ambao hawana tofauti na Wanaocheza First XI.

Na ndiyomana tunamtaka Klopp amshawishi Werner ambaye anamaliza Mkataba Next Summer asaini Pre-contract hapo January ili tuimatishe timu kwa Kutoka Hapa tulipo.

Kama Msimu huu tumefikisha Points 48 kwenye Christmas, basi Msimu ujao tufikishe Points 52 muda kama huu.

Well said Mkuu upo sahihi, nilichomaanisha ni usajili mfupi wa hii Januari kwamba kuhustle kusajili real back up yaweza ikawa shinda unless kama alivyosema Klopp atokee mmoja xtraordinary ambae ni long term target basi wataingia sokoni, case study kama VVD..

hio niliowataja itakua ajabu sana kubaki nao next summer maana ni pure dead woods wauzwe to make room for serious contenders wa back up players or first 11 kama alivyo Shaqir...

Tukimpata Werner bado umri mdogo anafundishika naamini makali yake pale mbele yatakua hatari...
 
Liver mnafurahia sasa hivi mkihisi mtabeba EPL

Laiti ukweli mngeujua ,mngejipiga bani

Ukweli ni huu hata mshinde games zote zilizobakia ,EPL hamtapewa, kuna muhuni atajitokeza atakuwa sawa na nyie na mtazidiwa magoli

Ukweli mchungu ni huu bikira mtatolewa ,siku si nyingi , baada ya hapo mtapoteza dira

Mwisho wa msimu mtatoka kapa

Epl mtaishia top4

Uefa mtatolewa

HUU NDIO UKWELI MCHUNGU ambao wana liver hawapend kuusikia ,

MJUMBE HAUWAWI

Ni kweli kila mtu Ana ukweli Mchungu huwa hataki Kuusikia.

Hata Wewe Msabato ulivyokuwa Ukweli Mchungu Usiotaka kuusikia Ni Kuwa Leo Ni Christmas ... (Mkuu nakutania tu usichukulie serious). 😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom