Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Morning guys!

Some good news today

TAA na KEITA back kwenye training...

TAA is availabe for Newcastle and Man City...

While Keita is available kwa Man City

Now we are waiting kwa Gomez na Matip kurudi ulingoni.
of course good news but my doubt is may be there come back might lead klopp to change his mind about january transfer window
 
He is back on training!!View attachment 976462
Amerudi wakat sahihi maana tuna game nying sana mpk kufikia May Sioni kama kuna haja ya kusajili straiker labda parmanent9 jambo ambalo klopp halimpendez ktk mfumo wake

Naona kuna umuhimu wa kusajili backup ya TAA maan kati tuko vzr labda comb ya MATIP na GOMEZ ndo sijajua kama itakubali au vp incase VVD kapata injury(jambo ambalo litatia simanzi kwa shabik yyte yule wa LFC)

OX,KEITA,MILNER,HENDO,GINI,FAB,
sioni kama kuna haja ya kuwa na viungo zaid ya hao

Kilio changu ni beki mmoja backup ya ROBO au TAA kwisha kazi
Ukuta bora ndo kitu cha muhimu kwa sasa maana forward line yetu ni tishio ikiwinda haikosi huku BOBBY Pale MANE, ukigeuka SALAH haha

I swear tungekuwa na kikosi kama hii UEFA final RMD sijui wangetubeba vp

YNWA
 
Kwa TAA nadhani Clyne anaweza sana kuimanage hiyo nafasi, na kwa kiwango alichoonesha game ya Man Utd si ajabu watakuwa wana alternate, wakati huo huo game ambazo kocha atataka kumchezesha Lovren utakuta Gomez anakuja RB.

Changamoto naiona kwa Robbo na VVD, hasa VVD, natemea Gomez kuweza kupartner na Matip/Lovren baadhi ya game za FA tuone combo yao iko vipi.
 
Kweli kabisa, na Hendo nae asipojirekebisha na back pass zake ataishia bench
Mkuu sa hivi role ya Hendo inavoonekana atarudi kwenye b2b midfielder (8) ambayo aliperform vizur ule msimu wa 2014
Kwahyo kidogo hapa naamini(not sure) atashine.. maana ataanza yale ma long pass alokua anampigia shaqiri(dwarf wetu) kwenye pre season 😂😂

Midfield yetu ikipokezana hivi kila mmoja atajitahid kua creative. We’ll go far in shaa allah
 
Mkuu sa hivi role ya Hendo inavoonekana atarudi kwenye b2b midfielder (8) ambayo aliperform vizur ule msimu wa 2014
Kwahyo kidogo hapa naamini(not sure) atashine.. maana ataanza yale ma long pass alokua anampigia shaqiri(dwarf wetu) kwenye pre season

Midfield yetu ikipokezana hivi kila mmoja atajitahid kua creative. We’ll go far in shaa allah
Hahahaha, mkuu nimemchokoza tu Malafyale hapo, sikuwa serious 😛
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom