Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We have three Dutchmen
1- VVD
2- GINI
3- KI-JANA

We have three Africans
1- SALAH
2- MANE
3- KEITA

We have three Brazilians
1- ALISSON
2- FIRMINO
3- FABINHO

No Frenchman???
No Spaniard???
No German??? Forget Karius.
 
Wow! Record kit deal from Adidas??

Our current £45m a year deal with New Balance will expire at the end of next season.

Liverpool would be willing to renew, but only if the American kit company increase their sponsorship offer by at least £30million.

Karibu Adidas
 
Only injury will force Jürgen Klopp to sign a new face kwenye winter window.
Without injury, No January transfer.

Klopp: "I keep the door open because if something happens we need to have a look. If something more happens we need to have a look. If nothing happens, we will not do anything."
 
Hii ni muhimu sana kwenye ku attract more sponsors hatimaye kuongeza mapato...

Na tayari Adidas ameshajiingiza kwa deal la around £80m, kinachosubiriwa ni maamuzi ya New Balance (NB) kukubali kuongeza dau la Mkataba mpya kutoka Mkataba wawa sasa ambao ni £45m mpaka kufikia £75m+

Wakishindwa kuongeza hela basi Adidas wanachukua dili.
 
Kuna siku niliona taarifa kwamba Nike pia alikuwa ananyemelea hii nafasi.
 
Wow! Record kit deal from Adidas??

Our current £45m a year deal with New Balance will expire at the end of next season.

Liverpool would be willing to renew, but only if the American kit company increase their sponsorship offer by at least £30million.

Karibu Adidas
Nafikiri NB wataongeza hiyo £30m kumatch na deal ya adidas ya £75 kwa man utd. maana contract yao kwa LFC inaisha 2019/2020. na sasa hivi Liverpool iko hot sana! inauza sana kit!
 
Yani Liverpool watoke 0 dhidi ya aseno? Aiseeeee
yah kutoka 0 dhidi ya ARSENAL haiwezekani maana lazma uchezee bakora za kutosha tu yaani nakutwanga bila huruma kama kipigo cha mbwa mwizi nilichokupa 2007 cha bao 6 hapohapo kwenu..............
 
Pickford bhana....
hahahaa
IMG-20181224-WA0066.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom