SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Yani nyie sio wa kuwaekea mkeka kabisa asee.sisi tunaua mtu kesho mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yani nyie sio wa kuwaekea mkeka kabisa asee.sisi tunaua mtu kesho mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tumemaliza mzungoko wakwanza bila kupoteza kila la kher huenda ndo mwaka wetu huu
Dully mpira umekwisha, pole na kwikwi pointu 3 safi kabisaaa...huyu mwamba ndio aliowaonea huruma mpaka akawafungulia thread humu JF,ni shabiki nguli wa GUNNERS dah sijui yuko wapi maana kimya kingi sana mzee Mbu nakumbuka kipindi kile kulikuwa na huyu jamaa aitwae Nzi naye alikuwa shabiki lialia wa manure haya majamvi yalikuwa yananoga sanaaaaaaaaaaaa
cc. Wacha1 mzee wa khee khe khee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Duh kweli nilisahau.Bado game moja hatujamaliza vs Newcastle
