Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
aafu wakipigwa hua wanapotea kimya kimya...watapata taabu sana na hii Liverpool kwa kweliKelele za wapiga ramli hao haziwezi kutupotezea FOCUS, tuwapuuze tu.
aafu wakipigwa hua wanapotea kimya kimya...watapata taabu sana na hii Liverpool kwa kweliKelele za wapiga ramli hao haziwezi kutupotezea FOCUS, tuwapuuze tu.
hahahahahahahaha sawa ,kuu tuendelee kushabikia timu zetu...huku tukiombea njaa kwa maadui zetu so liver 1 wolves 3............ook, kumbe ndio hivyo ushabiki adazi ulivyo...basi endelea kuwepo hapa maana binafsi nimo sana hapa uzii wa Liverpool the great hayo maneno yako hayanihusu...
Kama kawaida nawaombea ushindi mwema...Wolves
mpaka sasa fahamu Liverpool sio timu ya kuchapwa na hao Wolves, msimu huu hawa wanaoitwa Lesser teams hawatoki na hata point moja kwetu, watakua wanaambulia vipigo hivyo subiri maumivu baadaehahahahahahahaha sawa ,kuu tuendelee kushabikia timu zetu...huku tukiombea njaa kwa maadui zetu so liver 1 wolves 3............
hahahahahahahaha sawa ,kuu tuendelee kushabikia timu zetu...huku tukiombea njaa kwa maadui zetu so liver 1 wolves 3............
Mbona unateseka, mm nimewaombea ushind mwema wolves (mbweha)utasubiri sana hawa waliowakimbiza mchakamchaka leo wanalala mapemaaa....liverpool 2 wolves 0
Kama kawaida nawaombea ushindi mwema...Wolves
Anyone with today's lineup please...
Mbona unateseka, mm nimewaombea ushind mwema wolves (mbweha)
Mkishinda sawa ni sehemu ya matokeo, ila mm binafs nawaombea wolves washinde
Mechi ya leo ni muhimu sana kuingiza kikosi cha kutengeneza goal difference, nne bila itapendeza zaidi...halafu na siku ya Newcastle United pia tutengeneze goli difference ya 4+
Nashukuru ushajua kua matokeo yyt hutokea kwanzaMbona unateseka, mm nimewaombea ushind mwema wolves (mbweha)
Mkishinda sawa ni sehemu ya matokeo, ila mm binafs nawaombea wolves washinde
huyu mwamba ndio aliowaonea huruma mpaka akawafungulia thread humu JF,ni shabiki nguli wa GUNNERS dah sijui yuko wapi maana kimya kingi sana mzee Mbu nakumbuka kipindi kile kulikuwa na huyu jamaa aitwae Nzi naye alikuwa shabiki lialia wa manure haya majamvi yalikuwa yananoga sanaaaaaaaaaaaa...inabidi mfunge twin cam, turbo charged engine maana wanakuja hao, ...Man U aliwasha indicator mapema, keshapita, ...A'Villa nao hao wana ku flash... Chelsea wao wanakuonea haya kukupita...
sie washika bunduki tuna mark time, tunawasubiria kwenye milima...
kila la kheri isije ikawa viceversaLeo tunatengeneza goal difference ya 4+
ndio utajua kwanini mukaitwa LOSERFOOLISH maana nahisi utakuwa mgeni humu so hujui kisaasili cha hilo jinaNashukuru ushajua kua matokeo yyt hutokea kwanza
Mwambie na the GONO mwenzio aache ramli
Mkuu unawafahamu Wolves lakini?
Si Wa Kuwachukulia poa hao Wasela!
Huwezi tu ukawaza Kutoka GD 4+ kiboyaboya kama unavyodhani
Tutapaswa tupambane kweli.
huyu mwamba ndio aliowaonea huruma mpaka akawafungulia thread humu JF,ni shabiki nguli wa GUNNERS dah sijui yuko wapi maana kimya kingi sana mzee Mbu nakumbuka kipindi kile kulikuwa na huyu jamaa aitwae Nzi naye alikuwa shabiki lialia wa manure haya majamvi yalikuwa yananoga sanaaaaaaaaaaaa
cc. Wacha1 mzee wa khee khe khee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
leo
ndio utajua kwanini mukaitwa LOSERFOOLISH maana nahisi utakuwa mgeni humu so hujui kisaasili cha hilo jina
JIMENEZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ