MUSTO
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 241
- 286
umuweke filmino bench wewe klopp hahahahahah acheni kuweweseka subirini kichapo .....jimenez ataweka sawa hii atmosphere
[emoji23][emoji23][emoji23] ivii dully unaikumbuka ahadi yako uloiweka humu lkn?
umuweke filmino bench wewe klopp hahahahahah acheni kuweweseka subirini kichapo .....jimenez ataweka sawa hii atmosphere
View attachment 973890chama la wana kama kawa kama dawa hamjawahi kukosea leo kwa hili kosi mtakuwa na kazi moja tu ya kunishikishia adabu hawa kuku
nakumbuka sana....mimi huwa sitetereki coz najua mbio za sakafuni mwisho wake ukingoni.......niliwapa mwisho game ya tar 3 kama hamkuwekwa tundu nitaimba mapambio ya kuipamba liverpool huku mitaani[emoji23][emoji23][emoji23] ivii dully unaikumbuka ahadi yako uloiweka humu lkn?
Hapa Ndiyo Jezi yangu ya Liverpool nitakapo iprint kwa Maandishi Ya Njano Kuwa Washabiki Wa Liverpool Tunapaswa Kuwa Wastahamilivu manake itakuwa Wachezaji Wanacheza Kwa ajili ya kupewa Heshima badala ya Viwangi.
Nadhani Mechi zake 300 with zero Trophy atazitimizia akitokea Sub.

Werner for 60-70m
if we do sign him in the summer, Klopp will turn completely into 4321
mkuu, mpe Hendo the benefit of the doubt for once.Hapa Ndiyo Jezi yangu ya Liverpool nitakapo iprint kwa Maandishi Ya Njano Kuwa Washabiki Wa Liverpool Tunapaswa Kuwa Wastahamilivu manake itakuwa Wachezaji Wanacheza Kwa ajili ya kupewa Heshima badala ya Viwango vyao.
Nadhani Mechi zake 300 with zero Trophy atazitimizia akitokea Sub.
*you can tell, some people are more obsessed and interested with LFC than LFC fans themselves
shows how massive we're.
ook, kumbe ndio hivyo ushabiki adazi ulivyo...basi endelea kuwepo hapa maana binafsi nimo sana hapa uzii wa Liverpool the great hayo maneno yako hayanihusu...tunajua soka ni nini ndio maana ukienda kwa wenzetu mpaka leo unakutana na mashabiki lia lia wa NOTTINGHAM FOREST,LEEDS,MK DONS,BLACKBURN ROVERS,BOLTON WENDERES n.k yaani watu wanashuka na timu hata huko ktk comference league na wakipanda wanapanda nazo sio nyinyi washangiliaji maandazi timu ikifungwa game mbili tatu mnabadili username,hamuingii JF ,katika mabanda umiza mahudhurio F,wengune mnahamia timu jirani hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha ushabiki wa mpira ni kazi mkuu
Mkuu Mangi bila shaka utakua umetua Mlimani, tazama usije kunywa mbege mpaka kuchee maana hii Liverpool utaipenda tu maana ni raha utamu uwanjani...Leo ndugu zangu ni maumivu kwenu
Leo ndio ile siku ya maumivu
Ni kipigo Leo mnapokea
ook, kumbe ndio hivyo ushabiki adazi ulivyo...basi endelea kuwepo hapa maana binafsi nimo sana hapa uzii wa Liverpool the great hayo maneno yako hayanihusu...
World cup Russia he ddnt perfom as th hype that ws being said abt him being German next gen.. all in all hope he can deliver...Werner for 60-70m
if we do sign him in the summer, Klopp will turn completely into 4321