Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Droo kamili:

Manchester United v PSG

Schalke v Manchester City

Atletico Madrid v Juventus

Tottenham v Borussia Dortmund

Lyon v Barcelona

Roma v Porto

Ajax v Real Madrid

Liverpool v Bayern Munich

Mechi za kwanza zitachezwa 12-13 na 19-20 Februari, na mechi za marudiano 5-6 na 12-13 Machi, 2019.
 
Man United PSG????? Oh my God ajitahidi tu lakini kazi ipo.

Ila PSG si wazuri kwa Away game, Man U anaweza kutumia Adavantage akawapiga kama tulivyoitumia sisi tukawapiga hapa Anfield.
 
Next game:

December 21

• Wolverhampton Wanderers v/s Liverpool

Hawa madogo msimu huu wabishi kweli! Wanaweza game kuifanya Ngumu
mkuu huyu Fabinho makali yake jana si mchezo aisee....

Monaco nao kama Roma watakua wanaumia sanaa maana ni perfomance moja ya nguvu sana kutoka kwa huyu ndogo...

Yajayo yanafurahishaaaa
 
1st Leg ni Anfield
2nd Leg ni Arena

Ingelipendeza zaidi 1st Leg tukaanza Arena, then 2nd Leg tukamalizia Anfield ili tuwageuze kama Napoli na mbwembwe zao.
 
mkuu huyu Fabinho makali yake jana si mchezo aisee....

Monaco nao kama Roma watakua wanaumia sanaa maana ni perfomance moja ya nguvu sana kutoka kwa huyu ndogo...

Yajayo yanafurahishaaaa

Alianza Kuperform well against Everton, then akaboreka zaidi dhidi ya Napoli, Then Akaboreka tena zaidi dhidi ya Manure Jana.

Next game dhidi ya Wolves ?????
 
Alianza Kuperform well against Everton, then akaboreka zaidi dhidi ya Napoli, Then Akaboreka tena zaidi dhidi ya Manure Jana.

Next game dhidi ya Wolves ?????

Aendelee kukaza hivyo hivyo ili lile garasha liwekwe pembeni.

UEFA mpaka inafika inabidi tuwe tumeshakuwa na strong combination kwenye Mid, ili tuweze kufight. Maana game 1 VVD hayuko, so Mid inabidi uwe ya kueleweka.
 
Alianza Kuperform well against Everton, then akaboreka zaidi dhidi ya Napoli, Then Akaboreka tena zaidi dhidi ya Manure Jana.

Next game dhidi ya Wolves ?????
ile pass ya Mane goli la kwanza, mannnnnn that world class...

then his defensive work bana solid workholic...ball distribution nayo yupo sahihi...

come on Wolves i smell 3 more points added..
 
IMG_4758.JPG
 
Aendelee kukaza hivyo hivyo ili lile garasha liwekwe pembeni.

UEFA mpaka inafika inabidi tuwe tumeshakuwa na strong combination kwenye Mid, ili tuweze kufight. Maana game 1 VVD hayuko, so Mid inabidi uwe ya kueleweka.

Yani Fabi Jana amepiga 5 shots wakati yule mwanamitindo Jumla ya Misimu 5 hatimizi 5shots.

Kuhusu VDD usiwe na hofu kwani kwa kipindi hicho Gomez na Matip tayari watakuwa wamesharudi...

Pia game itakuwa ni Anfield ambapo huwa tuna extra power ya kumdestroy anyone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom