Nazani kuna muwamko fulani kwenye team naamini tutawapiga tuNext game:
December 21
• Wolverhampton Wanderers v/s Liverpool
Hawa madogo msimu huu wabishi kweli! Wanaweza game kuifanya Ngumu
kwani hao wa kikosi cha kwanza ulikatazwa usiwapange?Mnachekesha, mnacheza na kikosi cha pili mnashangilia...![]()
Mipira ya kujulia ukubwani bwana tabu sana, Mou aliua winga ya kulia baada ya Dalot kutoka, kwa hiyo huyu akawa free kupanda anavyotaka, Upmbaf wa Mou kumuacha bench Valencia ndio umempa kiki kijana. USIMPIME KWA MECHI HII ILIYOHARIBIWA NA UPANGAJI WA KIKOSI.
Kamuulize Mpambaf' Moukwani hao wa kikosi cha kwanza ulikatazwa usiwapange?


YNWA KopNiishie tu kuwapongeza wana Liverpool wote popote duniani
Ushindi huu ni wetu sote
Zile Ndorobo Mbili za Arsenal zipo wapi?
Niliwaambia kuwa Watajipiga Ban Wenyewe kama walivyojipiga Chelshit wakanibishia!
Sasa hali imeanza kuonekana
Fala kweli weweMnachekesha, mnacheza na kikosi cha pili mnashangilia...![]()
Kweli kabisa huyu jamaa nilijua akipata uzoefu wa ligi atakuwa hatar sana yaani henderson atafute timu za middle table tu maana hawez muweka huyu fundi benchFABINHO BEST DEFENSIVE MIDFIELDER IN EPL
Any argument? I'm ready for it just start
Ulitaka tulie?Mnachekesha, mnacheza na kikosi cha pili mnashangilia...![]()
Inabidi apimwe asee
mie sijampa cresit kwa game hii tu! jamaa ana perform vzr kwenye game nyingi tu.usiseme mou ni mpumbavu mpira ni mbinu hapo kazidiwa mbinuMipira ya kujulia ukubwani bwana tabu sana, Mou aliua winga ya kulia baada ya Dalot kutoka, kwa hiyo huyu akawa free kupanda anavyotaka, Upmbaf wa Mou kumuacha bench Valencia ndio umempa kiki kijana. USIMPIME KWA MECHI HII ILIYOHARIBIWA NA UPANGAJI WA KIKOSI.
We ndo huangalii mpira. Nadhani Robertson umemwonea kwenye hii game usingesema mashudu yako hapa.Mipira ya kujulia ukubwani bwana tabu sana, Mou aliua winga ya kulia baada ya Dalot kutoka, kwa hiyo huyu akawa free kupanda anavyotaka, Upmbaf wa Mou kumuacha bench Valencia ndio umempa kiki kijana. USIMPIME KWA MECHI HII ILIYOHARIBIWA NA UPANGAJI WA KIKOSI.