Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

46546974_213810492861355_9151756605405003776_n.jpg
 
Rashford jana alizani atapa zari kama la last season but Clyne aliona kumkaba yeye ndiyo fursa pekee kwa yeye kurudi kwenye nafasi yake ya kikosi cha kwanza.

Hatimae the Job is done
huyu Fab na Gini for real wanatupa raha sana maana pale katikati walikua wanateleza....

Jana ndogo Clyne lol what a stand out perfomance ni kama vile yupo first 11 siku zote....ki ukweli kikosi kikiwa na wachezaji wenye mentality hii tutakua ni motooo yaaani mambo ni motoooo....

YNWA....
 
Rashford jana alizani atapa zari kama la last season but Clyne aliona kumkaba yeye ndiyo fursa pekee kwa yeye kurudi kwenye nafasi yake ya kikosi cha kwanza.

Hatimae the Job is done
Rashford hakupata huduma yoyote unaweza kutuambia kuna mpira aliotengenezewa? Goli mbili alizokukata last season moja lilikuwa la mipango nyuma yao yupo lingard rashford anachezaje?
 
Kwa Bayern hii ya sasahivi inayosuasua Bundesliga ambayo alikuwa na hatimiliki nayo nakuhakikishia sina wasiwasi tunatinga Quarter Final
Kila lakheri kwenye champions league ila team yenu haijashinda away na sio salama sana unapokutana na team kama buyern ,Madrid ,barca
 
Home tunashinda mbili bila halafu away tunafungwa tatu moja, how about that?
Ha ha ha ha ha...mnatuombea mabaya lakini ndiyo tunazidi kusonga mbele tu!
kila wakiweka kambi humu kutuambia tunapigwa wanajikuta wanajipiga BAN wenyewe kimya kimya...

ukweli huu usajili wa Alpine Messi, Faby, Allison umeifanya Liverpool kua level zingine...vijana hawana papara wanatulia wanafanya yao...

Keita levo yake iliyofanya Kops waseme anafaa na apewe legendary namba 8 bado haja pick momentum vizuri nadhani majeraha pia...

Front 3 nao msimu huu hawajawa clinical kama msimu ulipoita...

Imagine Klopp na his coaching staff waje na rythym mzunguko wa pili wachezaji wote angalau waperfom 90% maana mpaka sasa ki ukweli hatuja hit th levels we are capable...

Yajayo yanafurahisha huyo Bayern nae atakaa kama wengine so ma haters kama wanadhani ndio mwisho wetu wataisoma namba maana last 8 here we come...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom