Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5681.JPG
 
Fabinho hajui sahivi kwa sababubu aliwakataa akaja kwetu au
Tofautisha tetesi za mawakala na magazeti na ofa official manchester united hawakuwahi kupeleka ofa oficial kwenda monaco hata bakayoko aliongeleaa kama anatakiwa na united je ofa ilipelekwa?
 
Ndani yamwezi huu wa DECEMBER tayari WATANO tumeshawadonoa, Tumebakisha WATATU tu kumaliza kazi ya Mwezi huu.

5 Played
5 Win
3 Clean sheet
12 Scored
2 Conceded


Ubao unasomeka WWWWW.

Now we are Unstopable.

IMG_20181217_120301.jpg
 
Kwakweli hadi fabihno anajitawala pale katikati, hahaaaa
Spot on Klopp, sababu kubwa ya kumpanga Fabihno alijuwa anaweza kupiga penetration pass sio kwamba Ender mbaya ila hana pass za kukata. na Jana ndio Fab alichofanya. Good perfomance. Keita he need season speed ya EPL kidogo inampa shida lakini atakaa vizuri tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom