Haiko mbaya kiasi hicho, Bayern bado moto wa kuotea mbali, kilichotokea ni kwamba Dotmund wameimarika sanaBayern ya msimu huu iko kawaida saaana, tukikaza game tutaimaliza mapema anfid
Isipokuwa Ramos mzee wa kuminyaLiverpool haikuogopi yyt yule CL!
Liverpool hii inaweza mtoa yyt yule Ktk mashindano yyt yale!
We will prevail!!
Hatuna undungu na Mourinho popote pale hana adabu
Mourinho left Real Madrid a month after the 4-1 defeat by Klopp’s Borussia Dortmund in April 2013; two years later Mourinho was sacked at Chelsea a month after a traumatic 3-1 defeat by Klopp’s Liverpool at Stamford Bridge.Shaqiri effect![]()
Robertson should be in
Dah SOTON wametusaidia kupunguza fujo kwenye darasa letu
Get your fact right , Mou alifukuzwa Chelsea baada ya kupoteza mechi vs Leicester city (2-1)Mourinho left Real Madrid a month after the 4-1 defeat by Klopp’s Borussia Dortmund in April 2013; two years later Mourinho was sacked at Chelsea a month after a traumatic 3-1 defeat by Klopp’s Liverpool at Stamford Bridge.
Three years later Mourinho is sacked (today) at Manchester United 2 days after a tremendous 3-1 defeat by Klopp’s Liverpool at Anfield.
Klopp Mungu anakuonaa
If you know, YOU KNOW!!!
Get your fact right , Mou alifukuzwa Chelsea baada ya kupoteza mechi vs Leicester city (2-1)